Kodi za TRA kubambika: Wabunge wa CCM mmefanya kweli, mmeleta matumaini katetea wafanyabiashara!

Kodi za TRA kubambika: Wabunge wa CCM mmefanya kweli, mmeleta matumaini katetea wafanyabiashara!

Nimewasikiliza katika nyakati tofauti wabunge toka sehemu mbali mbali nchini Tanzania na nimewakubali.

Wabunge Nape, Kanyasu, Msukuma na hata yule mbunge wa viti maalum kwa kweli wamenikosha.

Serikali siyo kwamba hawajui kinachofanyika huko mitaani, ila wanafumba macho ili wawakamue na kuwafilisi wafanya biashara kwa malengo ya kodi zisizoendelevu.

Kodi ni taaluma na sio maguvu.
Task forces zinaingia ofisini kwa mfanya biashra , humo kuna afisa Usalama wa tAifa, polisi , na mtu wa TRA.
Kazi yao ni moja tu -kumfilisi mfayabiashara.

Hilo liko wazi na sasa limeenda mbali zaidi, mfanya biashara kutishiwa UHUJUMU UCHUMI asipotoa pesa kwa serikali!
WHATS THIS?

Serikali ina condone state robbery?

Nawashukuru wabunge wetuwa CCM kwa ujasiri wa kuyasema hadharni, maana serikai haiwezi kukana kuna kuyajua yanayotendeka.
Nilitoa tahadhari mapema.

Wanamtetea Nani kwa Nani! Kwani mwenye serikali Ni Nani? Si wao wenyewe ?
 
Hao wote ni wafanyabiashara so wanajitetea wenyewe!
Kwani wanachojijitea wenyewe, kipo kweli au hakipo? Maana wangekuwa wa nje ya CCM mngesema pingapinga, sasa wa ndani mnadai wanajitetea wenyewe...!!!! hata kama wanajitetea wenyewe, unadhani wanapokwenda bungeni, wao hawaruhusiwi kujiwakilisha? Wao siyo wananchi wa majimbo wanayoyawakilisha? |AU MATATIZO WANAYOPATA WANANCHI WAO. WENYEWE HAWAYAPATI?
 
Hakuna Kodi ya Kubambika Kodi zinatokana na Sheria zetu hizi hizi ambapo watu wana default bila kujua mwisho wa siku wanadaiwa mamilioni bila kujua na kukimbilia kwenye media kuwa wamebambikiwa mfano mzuri ni ile shule ya Arusha watu walikula hadi return ya PAYEE kwa wafanyakazi wa shule ni kitendo cha hatari
 
Betri zikiisha je?
Betri zikiisha unanunua nyengine.

Ikiwa kama ni charge huwezi ukasubiri mpaka iishie kabisa! Bali utaicharge ikiwa imefikia kiwango fulani cha charge. Inakaa na charge kwa muda mrefu pia.
 
Nimewasikiliza katika nyakati tofauti wabunge toka sehemu mbali mbali nchini Tanzania na nimewakubali.

Wabunge Nape, Kanyasu, Msukuma na hata yule mbunge wa viti maalum kwa kweli wamenikosha.

Serikali siyo kwamba hawajui kinachofanyika huko mitaani, ila wanafumba macho ili wawakamue na kuwafilisi wafanya biashara kwa malengo ya kodi zisizoendelevu.

Kodi ni taaluma na sio maguvu.
Task forces zinaingia ofisini kwa mfanya biashra , humo kuna afisa Usalama wa tAifa, polisi , na mtu wa TRA.
Kazi yao ni moja tu -kumfilisi mfayabiashara.

Hilo liko wazi na sasa limeenda mbali zaidi, mfanya biashara kutishiwa UHUJUMU UCHUMI asipotoa pesa kwa serikali!
WHATS THIS?

Serikali ina condone state robbery?

Nawashukuru wabunge wetuwa CCM kwa ujasiri wa kuyasema hadharni, maana serikai haiwezi kukana kuna kuyajua yanayotendeka.
Nilitoa tahadhari mapema.

Wote wataitwa chamani Chamwino kupigwa mkwara halafu watarudi bungeni kukanusha waliyoyatamka wenyewe (U-turn).

CCM ya awamu ya 5 watu wake hawana hata chembe ya mshipa wa aibu nakwambia!!
 
Wote wataitwa chamani Chamwino kupigwa mkwara halafu watarudi bungeni kukanusha waliyoyatamka wenyewe (U-turn).

CCM ya awamu ya 5 watu wake hawana hata chembe ya mshipa wa aibu nakwambia!!
Sidhanii kama chama kinaweza kufanya hivyo, kwa sababu linalokosolewa si suala la kisiasa, ni la kiuendeshaji wa serikali.
Na hapo serikali imekosea, big time.
 
Kwa kifupi Mwijage, Nape na Musukuma ni waajiriwa wanaolipwa mshahara na serikali.

Boss wao ni Job Ndugai

Mwisho wa mwezi wanachungulia mshahara benk kama watumishi wengine tu wafagizi, madereva na wahudumu!
Ukweli mchungu jamani!
Na wanajaza na kupeleka form zao iwe za mikopo, kiinua mgongo, sijui bank utakapopitia mshahara e.t.c kwa boss wao Ndugai.

Hivi Bashiru na Polepole nao ni maboss wao!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kwani yanayowagusa wao, wengine hayawagusi? AU, Yanayowagusa wengine, wao hayawagusi? Biashara anayofanya msukuma, si ndo anayofanya SUPERFEO huko Songea? Ili aonekane anamtetea SUPERFEO na si YEYE kwenye biashara ya mabasi, afanyeje? Akili ni nywele...
Mkuu kuna watu wana akili za umimi, ndio maana waafrika hatuendelei.
Wanafikiri ukimchoma mfanya biashara ni sawa na ukimtetea basi na wewe unayemtetea una matatizo.
Hawafikirii juu ya ajira , mzunguko wa pesa, watu wengine kufaidika na kukua kwa biashara, kodi na uchumi kwa jumla n.k.
 
Sidhanii kama chama kinaweza kufanya hivyo, kwa sababu linalokosolewa si suala la kisiasa, ni la kiuendeshaji wa serikali.
Na hapo serikali imekosea, big time.
CCM ya awamu ya 5 haina hata chembe ya mshipa wa aibu wala huruma - inaweza kufanya lolote!
 
Back
Top Bottom