Kodi za TRA kubambika: Wabunge wa CCM mmefanya kweli, mmeleta matumaini katetea wafanyabiashara!

Kodi za TRA kubambika: Wabunge wa CCM mmefanya kweli, mmeleta matumaini katetea wafanyabiashara!

Hao wote ni wafanyabiashara so wanajitetea wenyewe!
Hapana, biashara zikifa na mapato ya serikali yanapungua na uwezo kuhudumia wananchi nao utaathirika. Kwahiyo, hawajitetei wenyewe bali wanamtetea kila mtu hadi hao tax collectors.
 
Hakuna kitu wabunge na wafanyakazi maofini ndio wafanyabiashara waache wajitetee wenyewe
 
Hao wanaongea tu kufurahisha baraza ukisema serikali maana yake ni hao hao wabunge. Wewe ngoja mwisho utasikia wanaunga mkono kwa asilimia 100 na kuipongeza serikali kwa ukusanyaji wa kodi na kutaka rais aongezewe vipindi vya kutawala
 
Back
Top Bottom