Kodi za TRA kubambika: Wabunge wa CCM mmefanya kweli, mmeleta matumaini katetea wafanyabiashara!

CCM ya awamu ya 5 haina hata chembe ya mshipa wa aibu wala huruma - inaweza kufanya lolote!
Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu.
Serikali imeanza kutumia hatua hizi zisizo na staha kiuendeshaji kwa vie hawakusikia ushauri wa kuwa rafiki na biashar na wafanyabiashra wa nchi hii.
Hatua za kukuasnya kodi kwa mtutu, huo si weledi wa kiofisi wala kiserikali.
Mbaya zaidi mtindo huo si endelevu.
 
Wewe ni mpuuzi kama wale wajinga wanaounga mkono kila jambo, hata kama ni uchafu, alimradi unafanywa na serikali.

Mimi walinibambimia kodi ya sh 400m. Nikagombana nao, na nikamkataa huyo mkadiria mjinga. Nikapewa mwingine.

Yule mwingine akaja akaniandikia nilipe 32m. Lakini akasema, kwa vielelezo vilivyopo, hukutakiwa kulipa chochote kwa sababu hakuna capital gain uliyoipita katika uuzaji wa mradi huu, lakini akaniomba nikubali kulipa maana akiweka zero capital gain, yeye na mimi, wote tutaendelea kusumbuliwa, na inaweza kup8ta hata mwaka bila ya kupata tax coearance. Nililipa hiyo 32m, kisha nikafunga na kampuni.
 
We bado ni Kum.aaaaa Tuu yaani tax liability ya 400m imepunguzwa hadi 32m eti unalipa na kufunga kampuni ulitaka ulipe 1m?? Nyinyi K.uma ndo mna default sheria za Kodi ningemtia ndani huyo Officer uliyempa rushwa
 
We bado ni Kum.aaaaa Tuu yaani tax liability ya 400m imepunguzwa hadi 32m eti unalipa na kufunga kampuni ulitaka ulipe 1m?? Nyinyi K.uma ndo mna default sheria za Kodi ningemtia ndani huyo Officer uliyempa rushwa
Mkuu huwezi kumjibu bila kumtukana na kiungo cha mama yako?? Vipi umekunywa chai lakini?
 
We bado ni Kum.aaaaa Tuu yaani tax liability ya 400m imepunguzwa hadi 32m eti unalipa na kufunga kampuni ulitaka ulipe 1m?? Nyinyi K.uma ndo mna default sheria za Kodi ningemtia ndani huyo Officer uliyempa rushwa
Acha kutukana na inaelekea hujui kinachoongelewa hapa.
Tungesema bila kuficha au kumung'unya maneno, ni kwamba TRA inawaibia wafanya biasharaili kuiridhisha serikali.
SASA UNAELEWA?
 
Achana na Fala huyo , jamii forum kuna was*nge wengi sikuhizi wanatoa hoja na threads za kifala , huyu ms*nge johnthebaptist ni mmoja wapo , sijui kwanini hawayapigi ban maku*a haya .
Watu wanajadili ishu critical zinazogisa Maisha ya watu wao wanaleta usenge hapa .
*****
 
Yaani Mzee Lasway hapo mjini stroke imempiga wamemkamua billion za kutosha. Inaumiza sana.
 
Lipi halijasemwa na wabunge wa upinzani hata udhani hao jamaa wana la maana

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Usitudanganye, wabunge wa CCM hawajawahi kuwatetea wananchi. siku zote wabunge wa CCM ni maslahi ya chama cha CCM TU, Wako tayari hata nchi ife lakini CCM inawiri maana ndipo penye kula yao.
 
hayo ni maigizo tu. hivi mpaka leo hamjawaelewa hawa watu. hapo wanataka kuwaaminisha watz kwamba bunge lipo[emoji3533][emoji3533] kweli kweli
 
Ni kweli TRA imekua shida sana
 
Wakati wa Serikali ya kikoloni kulikuwa na kodi nyingi sana hata baisikeli ilikuwa inalipiwa kodi, vivyo hivyo na Radio, ng'ombe na zinginezo, bahati nzuri TRA hawakuwepo lakini waliohusika kukusanya kodi walitumia mbinu wanazotumia TRA Awamu hii. Kodi zote zilikuwa mateso kwa wananchi lakini kodi iliyotesa na kuchukiwa na wananchi ilikuwa inaitwa Kodi ya Kichwa (poll tax) ambayo kila kichwa cha mwanaume mtu nzimà alitakiwa lazima alipe na kwa wakati. Kodi ikilipwa mlipaji alipewa Kipande ambacho lazima atembee nacho au akiache nyumbani mahali mke anaweza kuwaonyesha wasaka Kodi wakija la sivyo mke alichukuliwa na kutupwa lupango mpaka mumewe aje na Kipande kumkomboa na kama kodi haijalipwa mke ataachiwa bwana atabaki lupango mpaka alipe. Polisi walitumika sana kwenye kukusanya Kodi na Polisi wa wakati huo wengi wao wakutoka Mkoa wa Mara walikuwa wakali sana lakini walikuwa hawabambikizii watu kesi wala kupokea rushwa kama wa leo.
Baada ya Uhuru, Nyerere kwa kashifa na kejeli nyingi dhidi ya Wakoloni na kodi zao, nyingi alifutilia mbali na zingine kurekebishwa, kwa vifijo na vigelegele toka kwa wananchi ambao walijiona kuwa kweli wako huru na hawatalala porini tena kuwakimbia watoza Kodi. Baada ya hapo kodi ziliendelea kulipwa au kukwepwa kama hazilipiki na wakusanyaji waliendelea kubadilishwa kwa nia nzuri tu ya kuboresha ukusanyaji mpaka ikaletwa TRA kwa nia nzuri ya kuweka kodi zote za Serikali Kuu chini ya mkusanyaji mmoja. Mambo yalienda vizuri au labda yalivumilika tu wakati wa Awamu ya Tatu iliyoanzisha TRA na Awamu ya Nne, biashara ilishamiri na viwanda hasa vya wawekezaji wa ndani vilikuwepo vikizalisha na kuajiri, hali ya sasa toka Awamu ya Tano iingie madarakani inaeleweka. Tanzania mpya, CCM mpya, mbinu na kaulimbiu ni za ubwabwa uleee!
 
Kama naanza kuelewa vile [emoji848][emoji848][emoji848] inawezekana hii MITANO TENA ni kwa ajili ya kufanyia kazi hoja za upinzani zilizo pigiwa kelele miaka mitano ya kwanza

Na ndio maana wamewatoa wapinzani ili wabaki wenyewe CCM watuph ili waweze kuziongelea tena hoja za wapinzani na ndio maana nzima ya MITANO TENA
 
Ukweli ni kwamba bunge kama likiamua kuwa huru na kufanya kazi yake, ni chombo chenye nguvu sana. Lakini bunge letu limekabidhi madaraka yake kwa serikali, halafu wanalalamika. Kwani sheria za kodi anatunga nani?
Bunge kazi yake ni kuandika siyo kutunga sheria- wabunge huwa wanapewa mswada ulioandaliwa na watumishi wa serikali- mswanda ndio mwishoe huwa sheria. Kwa muktadha huo siyo sahihi kuwalaumu wabunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…