Hapana, biashara zikifa na mapato ya serikali yanapungua na uwezo kuhudumia wananchi nao utaathirika. Kwahiyo, hawajitetei wenyewe bali wanamtetea kila mtu hadi hao tax collectors.
Hao wanaongea tu kufurahisha baraza ukisema serikali maana yake ni hao hao wabunge. Wewe ngoja mwisho utasikia wanaunga mkono kwa asilimia 100 na kuipongeza serikali kwa ukusanyaji wa kodi na kutaka rais aongezewe vipindi vya kutawala