Kodi za Watanganyika zinajenga shule Zanzibar ambazo hapa Tanganyika hazipo

Kodi za Watanganyika zinajenga shule Zanzibar ambazo hapa Tanganyika hazipo

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Hii sio haki kabisa. Tunawajengea Wazanzibari mbona hapa Tanganyika hakuna shule kama hii?👇

FB_IMG_1767974210768.jpg
 
Waziri wa fedha kwa sasa ni Mzenji, si kwa bahati mbaya. Wacha Zanzibar ijengwe kama Dubai kwa pesa za Watanganyika ambayo watabaki na madeni tu.

Mkisema nywinywi Kmkm wanaletwa fasta kuua
 
Back
Top Bottom