Dr. Mwigulu Nchemba
Minister
- Feb 25, 2012
- 419
- 2,169
Ni kweli ila pia "Tax cuts" italeta maendeleo ya mtu mmoja mmoja ambayo pia ni faida kwa taifa letu.Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Siyo tu dhamana , je inatumikaje?Mikopo mnayokopa, Huwa mnaweka dhamana ipi?
Kuna wakati mlituambia kuwa tuko UCHUMI WA KATI ila naona kwenye takwimu ulizoambatanisha hapo inaonekana kuwa UCHUMI WETU UMEPANDA KWA SASA UKILINGANISHA NA NYAKATI ZILE ZA UCHUMI WA KATI. Sasa swali langu ni Je,kama taifa letu limekua KIUCHUMI tumehama kutoka UCHUMI WAKATI,NA SASA tuko kwenye UCHUMI WA DARAJA GANI?Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
Karibu tena Mkuu, baada ya kuadimika humu Kwa kipindi kiasi..Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
Hizi kodi mnazokunywa kama kausha damu mpaka tunagoma mnazipeleka wapi, na huku taifa linakopa mpaka hela za kuendesha budget yake?.Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6