Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
yeye mwenyewe ni mpigaji sana na sidhani kama kuna mtu mpigaji kwenye Serikali ya Samia anaweza mfikia jamaa.Mkuu hapa nani alikuwa msema kweli?
View attachment 3033862
jibu ni kwamba wana gharamikia matumizi yao ya anasaKaribu tena Mkuu, baada ya kuadimika humu Kwa kipindi kiasi..
Umekuwa Serikalini ukihudumu nafasi mbalimbali kwenye Baraza la Mawaziri
Swali langu; Kipi kimefanya kiwango cha Kodi tunachokusanya kipande awamu hii kulinganisha na awamu iliyopita?
Swali la pili, pamoja na makusanyo ya kikodi kuwa makubwa kwanini bado tunaendelea kukopa?
Tatizo lako (lenu), ni siasa kila mahali, hata sehemu isiyohitaji kuingizwa siasa.Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
Mwambie hiyo 'Histogram' yake aigeuze hayo 'madafu' yetu kuwa katika sarafu ya pesa yenyewe halafu aje atuonyeshe tena mchoro huo!Vipi kuhusu pesa kushuka thamani unadhani makosa ni ya wizara ya fedha au wananchi kiujumla?
Tumerudi kule kule tuliko toka mwanzo. Wewe habari hiyo hukuipata?Kuna wakati mlituambia kuwa tuko UCHUMI WA KATI ila naona kwenye takwimu ulizoambatanisha hapo inaonekana kuwa UCHUMI WETU UMEPANDA KWA SASA UKILINGANISHA NA NYAKATI ZILE ZA UCHUMI WA KATI. Sasa swali langu ni Je,kama taifa letu limekua KIUCHUMI tumehama kutoka UCHUMI WAKATI,NA SASA tuko kwenye UCHUMI WA DARAJA GANI?
Wansubiri Gen Z iwakumbushe!Kwanini Serikali haibani matumizi mabaya mfano ununuzi wa ma V8, safari za nje, warsha na Semina Ili Serikali ipate pesa nyingi zaidi kupeleka kwenye maendeleo Ili kupunguza utegemezi wa mikopo kufadhili budget?
Mh Dr Mwigulu kwanza nikupongeze kwa kuchapa kazi.Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
View attachment 3033852
Na hapo ndio kuna shida, yaani tatizo haliko kwenye makusanyo bali matumizi tena ya anasaHapa umeleta takwimu za makusanyo. Kesho tunaomba za matumizi ya hovyo na zinazoibwa wakati wa kutumia. Au bado unasimamia kauli yako hakuna wizi serikalini?