Kodtec Speaker systems

Seapiano enyewe kuna old model imeandikwa 20hz to 150hz bass...kanagonga vizuri sana ...hio dz350bass yake hata in real life inazidiwa na seapino
 
Kuna kitu inaitwa sound pressure level

Kifupi sound ya seapiano huwa haifai kwenye mageto nikimaanisha chumba kimoja atleast ikae sehemu pakubwa ndo mana unaonga bati zinanguruma,
 
310 ni old kidogo sa hivi kuna 312 ndo bei hio kwa mbili bila box hata 450 zote mbili unapata
 
Shukrani sana ..jana nimeona hiikwenye duka la simu ipo vizuri ..kumbe bass inch 6.5 tu? Niliona jina kodtec nikasepa
 
Seapiano enyewe kuna old model imeandikwa 20hz to 150hz bass...kanagonga vizuri sana ...hio dz350bass yake hata in real life inazidiwa na seapino
Hilo nakataa labda ile sea piano ya laki 3! Sony bass yake iko more tighter ila haifiki deep levels. Ila kwa bass ni ya nguvu kuliko sea piano.
 
Hawa wadau wanaosema sony home theater daz-dz350 ya kawaida mnalinganisha na hivyo visabuufa vya Kichina labda utakuwa uliuziwa famba mimi ninayo Tena ya mtumba og kutoka Dubai mwaka wa nne sasa haijawahi kunisumbua na hapati joto na napiga siku nzima mara kwa mara nimeshatumia sana subwoofer nimesilikiza subwoofer za watch wengine wengi sijaona ambayo inaikuta mimi nahisi Hao wanaosema kodtek inaizidi dz350 wamekutana na famba
 

mkuu hapa ukizungumzia muziki wenye ubora sony dz 350 huwezi iweka na sabufa yoyote ni kukosa umakini.

lakini kwenye nguvu kutikisa nyumba,sabufa liko level nyingine kabisa,hata ukisukuma kwa mkono kitambaa chake cha base speaker utagundua ni watt nyingi sana zinatumika kuitembeza coil yake.

mziki wa gari kibongo bongo unaofungwa kwenye alteza au subaru zetu za kihuni unakita kwa fujo sana ila sio bora ndio maana unawekwa mpaka kwa laki 5 nk,ila wa mercedes benz unapiga kawaida tu ila kuistal system yake unakuta kampuni ya herman imelipwa $5000
ni quality ndio ina mata hapa.
 
Mziki wa gari huu unaofungwa hapa Bongo mimi naonaga ni makele tu. A looot of boomy bass na highs kaliiii ambazo haunipi ladha yoyote ya maana. Kwa ufupi haujawahi kuvutia masikio yangu.
 
Wakuu Kwa yeyote mwenye hiki kinu, naombeni kufahamu hii soundbar aina ya
Hisense 2.1 CH Bluetooth Soundbar DOLBY 2.1 HS219.
320W RMS watts ukiilinganisha na ile kodtec kt 2913 au kt 2912

Je bass lake lipoje.?
Sound quality yake ipo vizuri?
 

Attachments

  • Screenshot_20221119-101019.png
    338.7 KB · Views: 36
  • Screenshot_20221119-100639.png
    44 KB · Views: 34
Wakuu Kwa yeyote mwenye hiki kinu, naombeni kufahamu hii soundbar aina ya
Hisense 2.1 CH Bluetooth Soundbar DOLBY 2.1 HS219.
320W RMS watts ukiilinganisha na ile kodtec kt 2913 au kt 2912

Je bass lake lipoje.?
Sound quality yake ipo vizuri?
Bei yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…