korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,054
- 1,269
speaker la pioneer lile la 12 inch linaanzia watts 400( continues power)Mkuu hilo zaga lako kwa uelewa wako ukilinganisha na mziki wa kusuka kama ule wa filibert spiker moja la pioneer na twitter zake upi utakuwa na gonga sana?
Bila shaka Pioneer mkuu litakuwa linakita zaidi ckuwa na jua spec za kodtec .speaker la pioneer lile la 12 inch linaanzia watts 400( continues power)
kodtec 2913 total output power system ni 200 watts
we unafikir hpo ipi itakuwa inatema???
Hicho kisanga ndiyo nnacho kitaka mimi cjajua vitu vinavyo hitajika zaidi ya hilo li spika na gharama zake kamili niaze kuvikusanya kimoja baada ya kingineOya zigo la filbert nimelichezea ni kisanga. [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwahiyo mnakula vitu deep kabisaOya zigo la filbert nimelichezea ni kisanga. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ina sound kama mziki wa gari mkuuOya zigo la filbert nimelichezea ni kisanga. [emoji3][emoji3][emoji3]
Leo nilikuwa studio maana pale sio geto. Combination ya Boschman amp +eq na Pioneer Sub woofers plus mids za xplod. Mziki unaotoka ni wa ukweli hakuna kipengele. Sub ni moja zingine hazijaungwa ila Pioneer imeamua ugomvi. 😀Hicho kisanga ndiyo nnacho kitaka mimi cjajua vitu vinavyo hitajika zaidi ya hilo li spika na gharama zake kamili niaze kuvikusanya kimoja baada ya kingine
Sisi watu wa mwanza tutafikiwa lini kupata mziki mzuri??[emoji23][emoji23]Oya zigo la filbert nimelichezea ni kisanga. [emoji3][emoji3][emoji3]
video clips mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]Oya zigo la filbert nimelichezea ni kisanga. [emoji3][emoji3][emoji3]
pioneer hpo anakimbiza mzeeBila shaka Pioneer mkuu litakuwa linakita zaidi ckuwa na jua spec za kodtec .
Itabidi nifanye namna nikusanye mazaga taratibu kodtec naona hawauzi tena hilo zaga
unawaambiaje wazee wa svs wazee wa mamilioni kwa subwoofer ya watts 400???Leo nilikuwa studio maana pale sio geto. Combination ya Boschman amp +eq na Pioneer Sub woofers plus mids za xplod. Mziki unaotoka ni wa ukweli hakuna kipengele. Sub ni moja zingine hazijaungwa ila Pioneer imeamua ugomvi. [emoji3]View attachment 2628881View attachment 2628892
Hahahah waende wakaunguze hela. Hii setup ukiangalia gharama zake ni kama 1 million hivi. Ila mziki ni wa ukweli sana kuupata dukani uandae sio chini ya million 5.unawaambiaje wazee wa svs wazee wa mamilioni kwa subwoofer ya watts 400???
mnyama 3003d4 hpo katiHahahah waende wakaunguze hela. Hii setup ukiangalia gharama zake ni kama 1 million hivi. Ila mziki ni wa ukweli sana kuupata dukani uandae sio chini ya million 5.
Tutafute hela mzee tuache kujipa moyo.unawaambiaje wazee wa svs wazee wa mamilioni kwa subwoofer ya watts 400???
Huu ubunifu mzuri kweli, Fursa hii tuitumie wazee wa sound. Hapo Amp 300K, Bass 200K, Midi 150k, Head Unit 50K, Power supply 50K, EQ 150K, SoundBox na ufundi 100K. Ukishafanikiwa hapo unaiuza 1.5M bila kokoro.mnyama 3003d4 hpo kati
ni kuzutesa pumbu hpo ndani[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2628905
Mziki wa ukweli tunaupima kwa kitu gani mkuu?Hahahah waende wakaunguze hela. Hii setup ukiangalia gharama zake ni kama 1 million hivi. Ila mziki ni wa ukweli sana kuupata dukani uandae sio chini ya million 5.
We sound stage hio utaipata kwenye live band. Mziki ulioko recorded studio lazma usikie kwenye speaker.Mziki wa ukweli tunaupima kwa kitu gani mkuu?
Watu wengi huwa wanaamini mziki bora ni mziki kuwa na Bass ya kufa mtu.
Mziki ni ZAIDI YA HAPO.
Kuna vitu kama hivi hapa (nataja vichache)[emoji116]
- Soundstage
- Imaging
- Speakers kuwa na uwezo wa ku-dissappear.
Swali langu ni kwamba, Hizi system zetu tunazoongelea hapa zinatupa hayo mambo?
1. Tukisikiliza mziki, huwa tuna feel a realistic soundstage mbele yetu?
2. Je tunaweza kupoint-out vyombo vya mziki vikiimba? Mfano, unaweza kupoint out kinanda kipo wapi, gitaa lipo wapi etc? (IMAGING)
3. Unaposikiliza mziki, huwa Unamsikia Mwimbaji kutokea Katikati ya stage? Na waimbaji wengine unawasikia around her/him? Huwa tunapata huu UHALISIA ambao ndio upo in real life?
Au huwa tunasikia wanaimba kutokea kwenye Speakers?
4. Ukisikiliza mziki, hutakiwi kuzisikia speakers. Speakers SHOULD DISSAPPEAR COMPLETELY. Unatakiwa kusikia mziki kutokea mahali unapotakiwa kusikika (refering point no 2 on Imaging) lakini hutakiwi kuzisikia speakers zikitoa sauti.
Je, Hizi miziki zetu za budget(za jamii ya kina kodtec) huwa zinatupa hizi experience?
jamaa analeta mambo ya wasafi festival sebuleni sio[emoji16][emoji16]We sound stage hio utaipata kwenye live band. Mziki ulioko recorded studio lazma usikie kwenye speaker.
Mziki wa live recording ndio utaimba hivyo unavyotaka wewe.