Kinyonge sana mzee.Sawa mkuu
ww hyo 2.5m ni zile bookshelf speakers pekeeKinyonge sana mzee.
Ila 2.5M kwenye music dah.
Napata 43" Hisense 4K Smart (650k)
Napata Hisense 2.1 HS218 Soundbar (400k)
Chenji napata friji, cooker, na Washing machine za Hisense.
Dah tutafute hela.
sasa deep bass uipate kwenye ka amplifier pekee??Wakuu oneni hichi kunakitu kweli, kwa geto kutakuwa na dep bass.View attachment 2631224View attachment 2631228
Dah kudadeqww hyo 2.5m ni zile bookshelf speakers pekee
hpo ingenkuwa system ya 5.1 yaani uweke na tower speakers na center , subwoofer, avr receiver
huenda ingefiki hta 8m[emoji41]
vifaa vya music na vifaa vya cameraDah kudadeq
Duh! sasa hiyo ,w1600 sindo uwezo wenyewe, kuna njia nne za speakers na whoofer moja, bado huoni kitu mkuu.sasa deep bass uipate kwenye ka amplifier pekee??
una pair na speakers zipi??
halafu hko kadude nominal output power ni 40watts tu
ndogo mnooo.
nenda kasome vizur specifications zakeDuh! sasa hiyo ,w1600 sindo uwezo wenyewe, kuna njia nne za speakers na whoofer moja, bado huoni kitu mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu mbona kuna Madon wengi tuMtu wa Ngara hawezi kuwa na Sound ya maana. Wale ni wazee wa Ailipu na Alitop [emoji3]
Nilikua natumia Panasonic hii mkuu, wahuni wakaiteketeza nibakia na speaker tu, ziko stoo, ndo ninataka amplifier itakayo nipa ladhanenda kasome vizur specifications zake
hyo 1600w no peak power kwa total 4 channels.
Sahihi mkuuKinyonge sana mzee.
Ila 2.5M kwenye music dah.
Napata 43" Hisense 4K Smart (650k)
Napata Hisense 2.1 HS218 Soundbar (400k)
Chenji napata friji, cooker, na Washing machine za Hisense.
Dah tutafute hela.
Yeaaah ndo Mimi Huwa namtumia yeye kununua vitu vyangu kibao kutoka kwake na ndo maana nilikwambia siku Moja kuwa Kuna wauzaji wa pioneer tz wawil ninaowajua ila huyu ndo ana bei inayoeleweka wengine daah bei zao ziko juu, kwaio bila shaka ni bobstock tu ndo ninayemtumia kununua Kila device ninayoiitaji kwangu.picha zako zimetumika huko kwnye biashara ya mtu
hebu sema unamfahamu hyo mfanyabiashara? na ni kweli hzo system ulichukua kwake??View attachment 2631464View attachment 2631467View attachment 2631468
sawaYeaaah ndo Mimi Huwa namtumia yeye kununua vitu vyangu kibao kutoka kwake na ndo maana nilikwambia siku Moja kuwa Kuna wauzaji wa pioneer tz wawil ninaowajua ila huyu ndo ana bei inayoeleweka wengine daah bei zao ziko juu, kwaio bila shaka ni bobstock tu ndo ninayemtumia kununua Kila device ninayoiitaji kwangu.
Yes bila shaka ni genuinesawa
je ni GENUINE??
unajua namna ya kuangalia genuine products za pioneer??
bei anayoweka insta ndo hyo hyo ama ukimfuata chamber anapunguza kidogo??
CAG ππππOya zigo la filbert nimelichezea ni kisanga. πππ
Ni kweli inaweza kuwa na sound nzuri changamoto kwenye muonekano sasa hauvutii kabisa. Yaani inakuwa kama umeweka mataka taka ndani.picha zako zimetumika huko kwnye biashara ya mtu
hebu sema unamfahamu hyo mfanyabiashara? na ni kweli hzo system ulichukua kwake??View attachment 2631464View attachment 2631467View attachment 2631468
Macintosh amplifier ni bei ya vits kabisa bado speaker utazochukua hapo, power subwoofer etc. Yaani ukiamua kuwa serious na mziki ni mil 12+ππww hyo 2.5m ni zile bookshelf speakers pekee
hpo ingenkuwa system ya 5.1 yaani uweke na tower speakers na center , subwoofer, avr receiver
huenda ingefiki hta 8m[emoji41]
Ndio ni matakataka lakini yenye thamani ila napenda kusikiliza ladha ya mziki ninaoupenda na sio mapambo yasio na tija kwangu,Ni kweli inaweza kuwa na sound nzuri changamoto kwenye muonekano sasa hauvutii kabisa. Yaani inakuwa kama umeweka mataka taka ndani.