Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Kinyonge sana mzee.

Ila 2.5M kwenye music dah.

Napata 43" Hisense 4K Smart (650k)
Napata Hisense 2.1 HS218 Soundbar (400k)
Chenji napata friji, cooker, na Washing machine za Hisense.

Dah tutafute hela.
ww hyo 2.5m ni zile bookshelf speakers pekee

hpo ingenkuwa system ya 5.1 yaani uweke na tower speakers na center , subwoofer, avr receiver

huenda ingefiki hta 8m[emoji41]
 
nenda kasome vizur specifications zake

hyo 1600w no peak power kwa total 4 channels.
Nilikua natumia Panasonic hii mkuu, wahuni wakaiteketeza nibakia na speaker tu, ziko stoo, ndo ninataka amplifier itakayo nipa ladha
1090389913.1.jpg
 
picha zako zimetumika huko kwnye biashara ya mtu

hebu sema unamfahamu hyo mfanyabiashara? na ni kweli hzo system ulichukua kwake??View attachment 2631464View attachment 2631467View attachment 2631468
Yeaaah ndo Mimi Huwa namtumia yeye kununua vitu vyangu kibao kutoka kwake na ndo maana nilikwambia siku Moja kuwa Kuna wauzaji wa pioneer tz wawil ninaowajua ila huyu ndo ana bei inayoeleweka wengine daah bei zao ziko juu, kwaio bila shaka ni bobstock tu ndo ninayemtumia kununua Kila device ninayoiitaji kwangu.
 
sawa

je ni GENUINE??

unajua namna ya kuangalia genuine products za pioneer??

bei anayoweka insta ndo hyo hyo ama ukimfuata chamber anapunguza kidogo??
 
ww hyo 2.5m ni zile bookshelf speakers pekee

hpo ingenkuwa system ya 5.1 yaani uweke na tower speakers na center , subwoofer, avr receiver

huenda ingefiki hta 8m[emoji41]
Macintosh amplifier ni bei ya vits kabisa bado speaker utazochukua hapo, power subwoofer etc. Yaani ukiamua kuwa serious na mziki ni mil 12+😂🙌
 
Ni kweli inaweza kuwa na sound nzuri changamoto kwenye muonekano sasa hauvutii kabisa. Yaani inakuwa kama umeweka mataka taka ndani.
Ndio ni matakataka lakini yenye thamani ila napenda kusikiliza ladha ya mziki ninaoupenda na sio mapambo yasio na tija kwangu,
But all in all nikimaliza kujenga kwangu Nina Imani haya matakataka nitayapamba vizuri Ili yaonekane fresh na yenye mpangilio mzuri na wenye soround music ya ukweli ,
Mkuu, tunaenda taratibu huu mziki wa design hii ni wa wachache wanaoelewa.
 
Back
Top Bottom