Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Rockford fosgate P2 vp mkuu, hiyo pioooner nasikikia inakalishwa na Cliff Design na hata Kembao (kenwood) HQR 3000Hii 3003d4 ni spl sub hatali sana kwa class yake hii ni moto mwingine mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rockford fosgate P2 vp mkuu, hiyo pioooner nasikikia inakalishwa na Cliff Design na hata Kembao (kenwood) HQR 3000Hii 3003d4 ni spl sub hatali sana kwa class yake hii ni moto mwingine mzee
sina uhakika sana kma hzo cliff design 124dt na kenwood hqr 3000 wanaikalisha 3003d4 maana in specification.v s 3003d4 amewazid wte hasa upande wa sensitivity halafu reviews nyingi wanaipa points 3003d4Rockford fosgate P2 vp mkuu, hiyo pioooner nasikikia inakalishwa na Cliff Design na hata Kembao (kenwood) HQR 3000
Nae bei yake ipo kulekule 400k mpyaHapo nairobi zinauzwa bei ya kawaida tu, wakenya wameilewa zaidi 3003d4,arusha pia bei sio mbaya, ni tofauti na yule jamaa wa sinza bob anauza gali sana. Jamaa wa arusha 0767 635 079
Yeah hizo hizo za kina Tony caretakerTengeneza board kama ya Tony Caretaker wa Kenya ,au master audio fabricators.
Hio pioneer 3003d4 huwez ilinganisha na hio rockford for deep low bass subRockford fosgate P2 vp mkuu, hiyo pioooner nasikikia inakalishwa na Cliff Design na hata Kembao (kenwood) HQR 3000
Shukrani mkuu ngoja nifanye michakato niipate 3003 d4 kwa nelson bwire hapo kwa zakayo Hustler for Ks 10,000Hio pioneer 3003d4 huwez ilinganisha na hio rockford for deep low bass sub
Hii rockford fosgate ni punch sub.
Look at these specs and compare
Product highlights:
Remember Hii ni punch series
12" subwoofer with dual 2-ohm voice coils
Kevlar® reinforced paper cone
Santoprene surround
hybrid StampCast basket provides strength while minimizing weight and resonance
power range: 150-400 watts RMS (800 watts peak power)
frequency response: 26-250 Hz
sensitivity: 86 dB
Xmx 8.5mm (cone flexing of a sub)
Resonance Frequency ni 26hz****( hapa ni lows tupu)
While
Product highlights:
12" subwoofer with dual 4-ohm voice coils
IMPP composite seamless woofer cone with dual-layer elastic polymer surround
spring-loaded speaker terminal posts
frequency response: 20-80 Hz
power handling: 100-600 watts RMS
peak power: 1200 watts
sensitivity: 96 dB
Xmas 13.8mm
Resonance Frequency ni 35hz**(hapa ni lows pia but ziko juu kidogo kulingana na rockford fosgate)
But ukifinalise Zote,
Item. Rockford. Pior3003d4
Peak power 800w. B400w
freq response: 26-250 Hz. 20hz 80hz
sensitivity: 86 dB. 96db
Reson. Freq. 26hz. 35hz
Xmax cone flex 8.5mm 13.8mm
Therfore pioneer ni kubwa iko na kila kitu compared from rockford fosgate P2..
Kwenye KENWOOD HQR 3000 Hapo hakuna mziki labda mwonekano tu aa sub, labda kidogo kenwood kfc3010 inajitaidi
Kwenye cliff design wanajitaid kwenye appearance ya ya sub na specs zao ziko vizuri ila tatizo durability ndo hamna na ukiangalia bei ya cliff design iko chin.
Thanks kama nmekosea sehem nakalibisha kukosolewa
mhh! hii ni used ama mpya? maana mpya sijui kma kuna store huko kenya inauzwa chini ya 13000kshShukrani mkuu ngoja nifanye michakato niipate 3003 d4 kwa nelson bwire hapo kwa zakayo Hustler for Ks 10,000
Used kidogo ila mpya maona zinarange kati ya 12 -13 ksh.mhh! hii ni used ama mpya? maana mpya sijui kma kuna store huko kenya inauzwa chini ya 13000ksh
Shukrani mkuu ngoja nifanye michakato niipate 3003 d4 kwa nelson bwire hapo kwa zakayo Hustler for Ks 10,000
Used kidogo ila mpya maona zinarange kati ya 12 -13 ksh.
Join hilo group fb, huko ndio utapata vitu haswa,plus ideasYaan ukiingia jiji website ya kenya ndo bei yao hio ila mchek inbox mhusika alafu muulize hio bei ya 3003d4 kama hatokwambia 14k ukiongea nae mwisho anakwambia best price ni 13000 full stop na hapunguz na wala habembelezi .
Mimi nilitaka kubeba pioneer d12d2
Akanambia 12000, nikanwambua niko na 10k alafu nikasusa yaan kukauka nikajua zitashuka bei baada ya wiki nikakuta haxipo tena daah ndo niliamini bahat haiji mala mbili 😂😂
Kaka yaan magroup yote ya kenya car audios nimeshajiunga na mpaka nimeshaagiza pioneer 307d2Join hilo group fb, huko ndio utapata vitu haswa,plus ideas
na hta hyo 13000ksh ni ya kusaka sanaUsed kidogo ila mpya maona zinarange kati ya 12 -13 ksh.
Huyu mshangazi si katoka mwaka jana? Sokoni bado mpya mpya sana, kama 3003 anatisha hivyo huyu 3004 atakuwaje mkuu,hebu mwaga specs zake hapaAu wakubwa mnaonaje tumsake mshangazi wao Pioneer 3004d4 2400w/800RMS watts
Champion series PRO? The G🪙🪙lden seal
Huyu anaogopwa kwa bei na pia performance yake ukicompare na wenzake kina Pioneer (apart from samurai wa 3500w) na akina kenwood
Size. 30 cm (12")Huyu mshangazi si katoka mwaka jana? Sokoni bado mpya mpya sana, kama 3003 anatisha hivyo huyu 3004 atakuwaje mkuu,hebu mwaga specs zake hapa
Mambo ya Mvietnam.Huu mshangazi ni bei gani mkuu? Halafu hiyo resonance frequency ni kitu ganiMshangazi kama mshangazi 😂😂 daah noma sana aseh
Huo mshangazi ni 460k kibongobongo kwa bei ya sasaiviMambo ya Mvietnam.Huu mshangazi ni bei gani mkuu? Halafu hiyo resonance frequency ni kitu gani