singanojr
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 1,974
- 10,361
niandae budget kiasi gani mkuuNiko dodoma mjin makole kalibu na chuo cha cbe
Kalibu sana mkuu nakueleza mpaka calcultions zake za physics kukupa uhalisia usije choma sub au amplifier yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niandae budget kiasi gani mkuuNiko dodoma mjin makole kalibu na chuo cha cbe
Kalibu sana mkuu nakueleza mpaka calcultions zake za physics kukupa uhalisia usije choma sub au amplifier yako
1. Tweeter zile za picnener au piezzo 1 pair 10kniandae budget kiasi gani mkuu
Mkuu naja PM1. Tweeter zile za picnener au piezzo 1 pair 10k
2. Pioneer Mids 600w ninazo mpya 80k
3. Used pioneer sub (ninayo 307d2 ) 190k
4. Boshman amplifier 4 channels 1350w used clean condition 250k
5. Radio (head unit) 50k mpya
6. Boschann Mixer 100k
7. Box la sub 80k
8. Rca cables 10k
9. Power cables na waya za speakers roughly 15k.
===>Jumla ni 785k
10. Kama unataka kuweka nyumban utaongeza power supply ya ampere 30 ya 12v bei yake ni 85k
Karibu mkuuMkuu naja PM
hii design ni noma
Ngoja vijana wa sound bar waje, watakuambia huu ni uchafu ndani ya nyumbaHio pioneer 307d2 imepata slot cabinet
Hapa lows sio za kubahatisha 🔥🔥🔥View attachment 3009054View attachment 3009045View attachment 3009046
Kuna Siku nililetewa Vizio sound barNgoja vijana wa sound bar waje, watakuambia huu ni uchafu ndani ya nyumba
Mimi kuna mmoja alikuja akaniambia mbona una miliki mziki wa kizamani sana mzee, tafuta sound bar uweke hapa, nikamwambia subiri nikufungilie, sound yangu ina tower spika mbili acoustic auduo, centre na rear sorround brand ya onkyo na height sorround brand ya sony, na natumia avr ya kenwood, plus powered subwoofer y brand ya infinty 250watts rms with 28hz, na graphic eq ya 10band sansui.Kuna Siku nililetewa Vizio sound bar
Wqkqnitestia, so far Inapiga mziki wa kawaida sana ambao unasikika ila ile deep bass haimo kabisa yaan nilishangaa alafu bei yake 600k daah kiukwel kile kishindo cha mziki mnene na mzito wa pioneer hapo kwenye sound bar hakuna kabisa.
Pioneer ni another level .
Sasaivi kule kenya wanalia kuzitafuta hizi pioneer d12d2 na pioneer tsw307d2.
zinawindwa hatal.
Kiukwel kila mtu ana sikio Lake aseeh
Naweza pata hii ya 10 inchHio pioneer 307d2 imepata slot cabinet
Hapa lows sio za kubahatisha 🔥🔥🔥View attachment 3009054View attachment 3009045View attachment 3009046
Daah Hio yenyewe ya 12 inches haipatikani saivi sokoni,Naweza pata hii ya 10 inch
Mimi kuna mmoja alikuja akaniambia mbona una miliki mziki wa kizamani sana mzee, tafuta sound bar uweke hapa, nikamwambia subiri nikufungilie, sound yangu ina tower spika mbili acoustic auduo, centre na rear sorround brand ya onkyo na height sorround brand ya sony, na natumia avr ya kenwood, plus powered subwoofer y brand ya infinty 250watts rms with 28hz, na graphic eq ya 10band sansui.
Jamaa aliishia kuniambia tu nikupe sh?
Yeaah wanatuita basshead 🔊🔊🔊Wazee wa bass
Nakula bass ya kitu cha KEF SW2010 room hapa, karibuWazee wa bass
same hereNakula bass ya kitu cha KEF SW2010 room hapa, karibu
Asante saana broh, unyama ni mwingi asehNakula bass ya kitu cha KEF SW2010 room hapa, karibu