Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Hata mimi i recomand this,nimenunulia mjomba wangu moja iko poa sana,wametoa pia ndogo yake ambayo inabebeka ni rechageble with 2 wireless mic,ni ya mfumo wa karaoke.
Hii toleo watu wamelipokea vizuri sana japo mi sijafanikiwa kulisikiliza vp Lina mchujo wa kutosha na bass ipo powerful?
 
Hii toleo watu wamelipokea vizuri sana japo mi sijafanikiwa kulisikiliza vp Lina mchujo wa kutosha na bass ipo powerful?
Lina bass nzito ya 80w @2ohm in 20hrz, hii hata ukipunguza sauti bado unaipata ile bass nzito, wameongeza na feature ya 3D sound ambayo kwenye matoleo ya nyuma haikuwepo.satilete spikers ni 10w kama kawaida, single way spika. Hapo ndipo mchina anaponiuzi, kwenye seapiano za kwanza kabisa kwenye hizi satelite speaker alikuwa anatumiea model ya 2ways ambayo inacombine mid na tweeter
 
Lina bass nzito ya 80w @2ohm in 20hrz, hii hata ukipunguza sauti bado unaipata ile bass nzito, wameongeza na feature ya 3D sound ambayo kwenye matoleo ya nyuma haikuwepo
Mziki wenye bass hata haunifurahishi ndio maana ata sehemu zinazosifika kuwa na sound zuri za music hukuti ma speaker ya base jnakuta zile Fidek zinazochuja mziki, napendekeza sound bar au sony nusic system au panasonic.
 
Mziki wenye bass hata haunifurahishi ndio maana ata sehemu zinazosifika kuwa na sound zuri za music hukuti ma speaker ya base jnakuta zile Fidek zinazochuja mziki, napendekeza sound bar au sony nusic system au panasonic.
Kama unataka mziki halisi na natural tafuta Hi Fi system og achana na hizi za mchongo pata vitu vya polk audio,nakamichi,yamaha natural sound au jvc
 
Mziki wenye bass hata haunifurahishi ndio maana ata sehemu zinazosifika kuwa na sound zuri za music hukuti ma speaker ya base jnakuta zile Fidek zinazochuja mziki, napendekeza sound bar au sony nusic system au panasonic.
Ule mchujo na mchicha uonausikia kwenye fidek haupatikani hiv hiv mkuu, kuna kitu muhimu sana ,sana kwenye mziki kinaitwa equlizer, hapo ndio utaset mziki upate sound unayotaka wewe.zipi parametric EQ na graphic EQ manual na digital.hapo bado hujapata kitu kinitwa sound compresor
 
Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers.

Kishindo cha mziki wenye vipimo madhubuti ambacho sikukitegemea kilipenya katika ngoma zangu za masikio na Ilibidi nizame chap kuuliza jamaa wanioneshe hicho kitu kinachotoa huo mziki. Cha ajabu ilikuwa ni subwoofer box moja hivi with sleek design.

Ukaguzi uliendelea na kuona ni subwofeer box yenye bass speakers 3! 2 Deep bass 12" Speakers kushoto na kulia wakati mbele kuna 10" Mid bass (woofer)! Hii subwoofer iko accompanied na Speaker ndogo za kupiga mid and high frequencies ambazo zinafanikisha hii Kodtec iwe super clear sound system.

Tukija kwenye wattage hii system ni 300Watts RMS value! Utaona kwamba Peak Music Power Output ni obvious itakuwa around 1200w! The bass effects that come out of this subwoofer ni exceptional you hear both boomy and dynamic bass effortlessly sijui wametumia amplifier aina gani humu ila mziki una sound kama mziki wa gari kabisa 😁😁😁!

Kimsingi nilikuwa naona subwoofer za 2.1 Channel ni utopolo ila sio kwa Subwoofer za Kodtec wazee, naomba niombe radhi kwa wamiliki wote wa Speaker Systems za Kodtec!

View attachment 1698253
UPDATE: Hii speaker ina bass radiators 2 kushoto na kulia ambazo ndio speaker mbili za ubavuni. Mbele ndio kuna Active Bass Speaker.

Kazi ya Radiators ni ku enrich bass frequency iwe deep bass. Ina maana za ubavuni haziko powered ila zina resonate na mapigo ya active speaker hapo mbele ili kuzalisha ile deep bass.
Hiyo project naitamani sana wachina bass inatunia 2 ,ohms fanya mahesabu yako
 
Lina bass nzito ya 80w @2ohm in 20hrz, hii hata ukipunguza sauti bado unaipata ile bass nzito, wameongeza na feature ya 3D sound ambayo kwenye matoleo ya nyuma haikuwepo.satilete spikers ni 10w kama kawaida, single way spika. Hapo ndipo mchina anaponiuzi, kwenye seapiano za kwanza kabisa kwenye hizi satelite speaker alikuwa anatumiea model ya 2ways ambayo inacombine mid na tweeter
Huyu ni mwamba
 
images-1.jpeg
images.jpeg
 
Kwenye uchaguzi na ununuzi wa Home music, inahitaji sana taarifa kuhusu mahitaji, bajeti, uwezo na upatikanaji wa chombo.

Nimefanya utafiti wangu
Sony MHC M40D Bei 1,487,500/-
LG Xboom 1,100w Bei 935,000/- au 750,000/-

Screenshot_20241007-125737.png
Screenshot_20241007-125834.png
Screenshot_20241007-130011.png

The Sony MHC M40D and the LG XBOOM 1100W are both powerful home audio systems, but they cater to slightly different needs depending on features and performance preferences. Here's a comparison to help you decide:

### 1. Power Output
- Sony MHC M40D: The power output is around 600W RMS. While this may not be as high as the LG XBOOM, it still delivers powerful sound for a medium to large room.
- LG XBOOM 1100W: As the name suggests, the LG XBOOM offers a more powerful 1100W output, making it a better option if you are looking for a louder and more intense audio experience.

### 2. Bass and Sound Quality
- Sony MHC M40D: Known for its clear audio and decent bass. It has a Mega Bass feature that enhances low-end sound, making it a good choice for bass lovers, but it might not be as bass-heavy as the LG XBOOM.
- LG XBOOM 1100W: This system is more focused on delivering booming bass with its Bass Blast technology. It's perfect for those who prioritize a heavy, thumping bass experience.

### 3. Connectivity and Features
- Sony MHC M40D:
- Offers Bluetooth, NFC, HDMI ARC, and USB connectivity.
- Also supports Karaoke features with two mic inputs and vocal effects.
- Comes with a DVD/CD player and supports FM radio.
- LG XBOOM 1100W:
- Similar to the Sony, it has Bluetooth, USB, and AUX inputs.
- Includes a built-in Karaoke mode and DJ effects to add a party vibe.
- Unlike the Sony, it focuses more on DJ features like Party Accelerator and sound effects, giving more control to users for creating a club-like atmosphere.

### 4. Design and Portability
- Sony MHC M40D: Compact but powerful for its size, making it suitable for home use without taking up too much space. It has a more refined look compared to the LG.
- LG XBOOM 1100W: The LG XBOOM is larger and bulkier, designed more for outdoor events or large parties. Its size reflects its focus on power and bass output.

### 5. Price
- Sony MHC M40D: Typically, the Sony system is priced lower than the LG XBOOM, making it a good choice for those on a tighter budget who still want great sound quality.
- LG XBOOM 1100W: Generally more expensive due to its higher power output and party-focused features.

### 6. Best For
- Sony MHC M40D: Best for home users who want a balanced system for movies, music, and karaoke without the need for extreme bass.
- LG XBOOM 1100W: Best for users looking to host large parties or events where bass and loudness are the top priorities.

### Conclusion:
  • If you prioritize sound quality and karaoke features in a more balanced package, go with the Sony MHC M40D.
  • If you want more power and bass with DJ effects for parties and outdoor events, the LG XBOOM 1100W is the better option.
 
Comment yng hiyo nazungumzia seapiano sp 993
Seapiano ndio sub pekee ya mchina yenye viwango vya uhakika.kodteck naye alikuwa vizuri. Sijui ni kitu gani kimemfanya ajikite kwenye ma home ampliece zaidi, hasa pas,airfryer,mabirika. Hata kwenye professiona sound equipments naona ameanza kuacha kuleta mzigo
 
Back
Top Bottom