Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
NautakaHuo mziki ni kiboko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NautakaHuo mziki ni kiboko
View: https://twitter.com/primeaudioke/status/1840855388276867341?t=TvDRBp5iDqFm0FHmknmWfQ&s=19
Sound bars ni za watoto, tuelewane kwanza hapo. Watu wazima tunataka muonekano na mziki unaojaza Nyumba
Naam Naam,Soundbar ni za vijana gn zed, watoto wa alfu2, kizazi cha seapiano na kodtecj ndio kimehamia huko kwa soundbar
Subwoofer gani nzuri Kwa Sasa nataka ni nunueSeems jamaa wamekuja Official Tanzania, sina data za ubora wao Ila kuwa makini tu sabufa zao ni 70k mpaka 90k hizo za 2 in 1,
Seapiano sp 993 ni mwamba snSubwoofer gani nzuri Kwa Sasa nataka ni nunue
Hata mimi i recomand this,nimenunulia mjomba wangu moja iko poa sana,wametoa pia ndogo yake ambayo inabebeka ni rechageble with 2 wireless mic,ni ya mfumo wa karaoke.Seapiano sp 993 ni mwamba sn
Hii toleo watu wamelipokea vizuri sana japo mi sijafanikiwa kulisikiliza vp Lina mchujo wa kutosha na bass ipo powerful?Hata mimi i recomand this,nimenunulia mjomba wangu moja iko poa sana,wametoa pia ndogo yake ambayo inabebeka ni rechageble with 2 wireless mic,ni ya mfumo wa karaoke.
Lina bass nzito ya 80w @2ohm in 20hrz, hii hata ukipunguza sauti bado unaipata ile bass nzito, wameongeza na feature ya 3D sound ambayo kwenye matoleo ya nyuma haikuwepo.satilete spikers ni 10w kama kawaida, single way spika. Hapo ndipo mchina anaponiuzi, kwenye seapiano za kwanza kabisa kwenye hizi satelite speaker alikuwa anatumiea model ya 2ways ambayo inacombine mid na tweeterHii toleo watu wamelipokea vizuri sana japo mi sijafanikiwa kulisikiliza vp Lina mchujo wa kutosha na bass ipo powerful?
Mziki wenye bass hata haunifurahishi ndio maana ata sehemu zinazosifika kuwa na sound zuri za music hukuti ma speaker ya base jnakuta zile Fidek zinazochuja mziki, napendekeza sound bar au sony nusic system au panasonic.Lina bass nzito ya 80w @2ohm in 20hrz, hii hata ukipunguza sauti bado unaipata ile bass nzito, wameongeza na feature ya 3D sound ambayo kwenye matoleo ya nyuma haikuwepo
Kama unataka mziki halisi na natural tafuta Hi Fi system og achana na hizi za mchongo pata vitu vya polk audio,nakamichi,yamaha natural sound au jvcMziki wenye bass hata haunifurahishi ndio maana ata sehemu zinazosifika kuwa na sound zuri za music hukuti ma speaker ya base jnakuta zile Fidek zinazochuja mziki, napendekeza sound bar au sony nusic system au panasonic.
Ule mchujo na mchicha uonausikia kwenye fidek haupatikani hiv hiv mkuu, kuna kitu muhimu sana ,sana kwenye mziki kinaitwa equlizer, hapo ndio utaset mziki upate sound unayotaka wewe.zipi parametric EQ na graphic EQ manual na digital.hapo bado hujapata kitu kinitwa sound compresorMziki wenye bass hata haunifurahishi ndio maana ata sehemu zinazosifika kuwa na sound zuri za music hukuti ma speaker ya base jnakuta zile Fidek zinazochuja mziki, napendekeza sound bar au sony nusic system au panasonic.
Hiyo project naitamani sana wachina bass inatunia 2 ,ohms fanya mahesabu yakoKwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers.
Kishindo cha mziki wenye vipimo madhubuti ambacho sikukitegemea kilipenya katika ngoma zangu za masikio na Ilibidi nizame chap kuuliza jamaa wanioneshe hicho kitu kinachotoa huo mziki. Cha ajabu ilikuwa ni subwoofer box moja hivi with sleek design.
Ukaguzi uliendelea na kuona ni subwofeer box yenye bass speakers 3! 2 Deep bass 12" Speakers kushoto na kulia wakati mbele kuna 10" Mid bass (woofer)! Hii subwoofer iko accompanied na Speaker ndogo za kupiga mid and high frequencies ambazo zinafanikisha hii Kodtec iwe super clear sound system.
Tukija kwenye wattage hii system ni 300Watts RMS value! Utaona kwamba Peak Music Power Output ni obvious itakuwa around 1200w! The bass effects that come out of this subwoofer ni exceptional you hear both boomy and dynamic bass effortlessly sijui wametumia amplifier aina gani humu ila mziki una sound kama mziki wa gari kabisa 😁😁😁!
Kimsingi nilikuwa naona subwoofer za 2.1 Channel ni utopolo ila sio kwa Subwoofer za Kodtec wazee, naomba niombe radhi kwa wamiliki wote wa Speaker Systems za Kodtec!
View attachment 1698253
UPDATE: Hii speaker ina bass radiators 2 kushoto na kulia ambazo ndio speaker mbili za ubavuni. Mbele ndio kuna Active Bass Speaker.
Kazi ya Radiators ni ku enrich bass frequency iwe deep bass. Ina maana za ubavuni haziko powered ila zina resonate na mapigo ya active speaker hapo mbele ili kuzalisha ile deep bass.
Huyu ni mwambaLina bass nzito ya 80w @2ohm in 20hrz, hii hata ukipunguza sauti bado unaipata ile bass nzito, wameongeza na feature ya 3D sound ambayo kwenye matoleo ya nyuma haikuwepo.satilete spikers ni 10w kama kawaida, single way spika. Hapo ndipo mchina anaponiuzi, kwenye seapiano za kwanza kabisa kwenye hizi satelite speaker alikuwa anatumiea model ya 2ways ambayo inacombine mid na tweeter
Jamaa hapo anazungumzia radio gani bro?Huyu ni mwamba
Comment yng hiyo nazungumzia seapiano sp 993Jamaa hapo anazungumzia radio gani bro?
Seapiano ndio sub pekee ya mchina yenye viwango vya uhakika.kodteck naye alikuwa vizuri. Sijui ni kitu gani kimemfanya ajikite kwenye ma home ampliece zaidi, hasa pas,airfryer,mabirika. Hata kwenye professiona sound equipments naona ameanza kuacha kuleta mzigoComment yng hiyo nazungumzia seapiano sp 993
Seapiano ni mwamba hata bei imechangamkaSeapiano ndio sub pekee ya mchina yenye viwango vya uhakika.kodteck naye alikuwa vizuri. Sijui ni kitu gani kimemfanya ajikite kwenye ma home ampliece zaidi, hasa pas,airfryer,mabirika. Hata kwenye professiona sound equipments naona ameanza kuacha kuleta mzigo