Kodtec Speaker systems

Attachments

  • IMG_20250128_132316.jpg
    770.6 KB · Views: 9
Ninayo 5 years now..nilichukua kwa wakala kabisa kkoo chini ya jengo la Simba..mimi ni shahidi wa hili..hili dude achana nalo aisee..nagombana sn na majirani imagine wakati nipo ndani ya fance πŸ˜‚
 
Attachments

  • IMG_20250128_132316.jpg
    770.6 KB · Views: 5
Haipo kabisa
Mkuu Extrovert huwezi amini kwenye movement zangu za hapa na pale hapa Town (ARUSHA CiTY) nikaikuta kwa fundi mmoja wa simu anaiskiza, nikambembeleza aniuzie akasema niende na laki 3 na nusu ila laki 3 nahisi ataniachia.

Ila bro mziki niliousikia hapo ni balaa na nusu halafu ni road ila bass linamwagika kinoma .

Kuna ngoma niliitestia kwenye Bluetooth ya The Game .Ft. Dej Loaf _ Ryda... ndio niliamini hiyo sub ni nyoko.

[emoji24][emoji24][emoji24] Ila remote yake anadai ilipotea.
 
Ni balaa zito Sana hio mashine. Too bad hazikuzalishwa nyingi to live a tale of times.
 
Ninayo 5 years now..nilichukua kwa wakala kabisa kkoo chini ya jengo la Simba..mimi ni shahidi wa hili..hili dude achana nalo aisee..nagombana sn na majirani imagine wakati nipo ndani ya fance πŸ˜‚
Hio Sound ni balaa Sana. Haijawahi tokea
 
Nimependa ufafanuzi wako wa kitaalam. Hata kama inaweza isiwe kweli lakini maelezo yako hamenyoka
 
Redio ya Chumbami watt 1100? Ya nini?

It means every 1hour you play music consuption ya umeme ni 1unit.

Sisi wenye addiction ya Reggae na Bongo Hiphop tunapiga 24houra music labda Tannesco wakate umeme.

So it means niwe tayari 24units everyday
 
Nani amekuambia ni ya chumbani?? Hata kama ni watts 1100 ni home music system.

Na bado inaweza kuwa ndogo,
Mfano hiyo Sony MHC M40D ina Mkubwa wake Sony MHC M80D
Bado zote ni home music system, kuona 1100watts ni nyingi ni kipimo chako jombaa
 
Ni balaa zito Sana hio mashine. Too bad hazikuzalishwa nyingi to live a tale of times.
Jamaa cjui kwann bidhaa zao wanatoa limited sn aisee.. kabla ya hii kuna dude moja ni 2 times ya hili la sasa aisee πŸ™Œ nililikuta moja tu lilishalipiwa wakaniambia zutakuja zingine kumbe ndio ilikua last edition dah nilimaind vibaya mnoo πŸ˜€
Ni balaa zito Sana hio mashine. Too bad hazikuzalishwa nyingi to live a tale of times.
 
Jamaa ilikuwa wanapata customer base kubwa Sana sema wameshindwa wenyewe kuwa vizuri kwenye promo. Product zao nzuri Sana compared na wachina wengine.
 
Natafuta bass spika 10 inch angalau iwe na 2-4 ohms nkpata mtumba itakuwa poa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…