Soundstage and Imaging ni vitu VERY BASIC kwenye 2 channel audio. Na any True 2-channel-system inatakiwa ikupe hivyo vitu.jamaa analeta mambo ya wasafi festival sebuleni sio[emoji16][emoji16]
Tatizo ni kwamba hujawahi kuiexperience Hi-End audio inayoweza kukupa hivyo vitu nilivyoelezea.
Mimi nime-experience na ninayo hapa kwangu so ninazungumza kitu ninachokijua.
Tatizo letu wabongo huwa hatupendi kujifunza kitu kipya na kukubali kuwa tulichonacho kwa sasa bado hakijafika levels fulani. (Hapa sijisifii, I'm humbly trying to make my point)
Yaani mtu mwenye infinix hataki kukubali kuwa kuna vitu anavikosa compared na mtu mwenye Samsung S23.