Kodtec Speaker systems

Kodtec Speaker systems

Mzee baba hizo lows ni kiboko, I remember the time nilidondoka hapo kwenye min studio.
Inakuaje Mzee, sasa nmeleta mshangazi wa Vietnam 🇻🇳magetoni🔥🔥🔥
Screenshot_20250309_233401_Gallery.png
Screenshot_20250309_233342_Gallery.png
Screenshot_20250309_233331_Gallery.png
Screenshot_20250309_233304_Gallery.png
FB_IMG_1741073512251.jpg
FB_IMG_1741073516417.jpg
 
Attachments

  • 20250306_200333.jpg
    20250306_200333.jpg
    290.3 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250309_233313_Gallery.png
    Screenshot_20250309_233313_Gallery.png
    1.3 MB · Views: 1
Natafuta bass spika 10 inch angalau iwe na 2-4 ohms nkpata mtumba itakuwa poa zaidi
Nenda kenya tafuta Clif Designs Subwoofer CDS104DT 10″ Inch 1000W Dual Voice Coil · 4 ohm Dual Voice Coil · non-pressed paper cones .
Screenshot_20250309_234516_Samsung Internet.png
 
Hii hapa tayali mkuu
Screenshot_20250310_135424_Gallery.png
Screenshot_20250310_135415_Gallery.png
Screenshot_20250310_134949_Gallery.png
Screenshot_20250310_135444_Gallery.png
 
Attachments

  • Screenshot_20250310_135001_Gallery.png
    Screenshot_20250310_135001_Gallery.png
    2 MB · Views: 2
  • Screenshot_20250310_135251_Gallery.png
    Screenshot_20250310_135251_Gallery.png
    2.1 MB · Views: 1
Kama una presha sijui kisukari hapa sio mahala pako🤣🤣🤣
Maana kuna power supply ya Dell ya Ampere 131.3A ya USA (yaan hii ni more than required power) for all accessories.
Pioneer Bass woofer imefungwa 2 ohms. At full power from Kenwood MONOBLOCK AMPLIFIER Class D Performance series .
Clarity ya hapa sio mchezo
Bass ya 2ohms ni kisanga kizito yaan unakua unaskia ardhi kama inatitia mzee,
 
mtu akitamani kuja isikiliza anakupata wapi?
 
Yeah Clarity ipo, siwezi kuisemea sana kwa sababu alinitestia na manyimbo ya kibongo ya wasafi yale with some Nigerian pop!Simu yangu niliacha ndani ya gari parking so sikuwa na pairing device nikatumia ya muuzaji pale pale.

Ila its clarity is audible mpaka nilimwambia apunguze kidogo mchicha. Mi huwa sipendi mziki wenye mids kali, napenda Bass na highs ziwe juu kidogo na balanced.

Ila kwenye bass department that thing did an exceptional job! Japo nyimbo zilikuwa mbaya ile they sounded great. Haina Flat bass kama misabufa mingine ya kichina ile ya boombass tu! Nafikiri ndio maana wameweka speaker za aina 2 tofauti ku cover Lowest Bass Notes na Mid Bass notes! Kwahivyo unapata full dynamic range effects.
Hivi VETA wanatoa kozi ya sound system? Natamani niisome hii kozi, kuna mahali kwenye kazi zangu nahitaji kuongezea hii kitu. Nimeona umedadavua vyema sana, utakuwa na utaalam mkubwa kwenye sound za music
 
Yeah, curiosity pia inafanya tunajifunza vingi
 
Back
Top Bottom