filibert paul
Senior Member
- Oct 8, 2021
- 179
- 421
Inakuaje Mzee, sasa nmeleta mshangazi wa Vietnam 🇻🇳magetoni🔥🔥🔥Mzee baba hizo lows ni kiboko, I remember the time nilidondoka hapo kwenye min studio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuaje Mzee, sasa nmeleta mshangazi wa Vietnam 🇻🇳magetoni🔥🔥🔥Mzee baba hizo lows ni kiboko, I remember the time nilidondoka hapo kwenye min studio.
Nenda kenya tafuta Clif Designs Subwoofer CDS104DT 10″ Inch 1000W Dual Voice Coil · 4 ohm Dual Voice Coil · non-pressed paper cones .Natafuta bass spika 10 inch angalau iwe na 2-4 ohms nkpata mtumba itakuwa poa zaidi
Hii champion series Pro sindio zile mwana ukome kabisa😂😂😂 lazma upandishiwe kodi tuInakuaje Mzee, sasa nmeleta mshangazi wa Vietnam 🇻🇳magetoni🔥🔥🔥View attachment 3265130View attachment 3265132View attachment 3265135View attachment 3265137View attachment 3265166View attachment 3265165
mkuu ukimaliza kuisuka naomba nione design yakeInakuaje Mzee, sasa nmeleta mshangazi wa Vietnam [emoji1264]magetoni[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 3265130View attachment 3265132View attachment 3265135View attachment 3265137View attachment 3265166View attachment 3265165
mtu akitamani kuja isikiliza anakupata wapi?Kama una presha sijui kisukari hapa sio mahala pako🤣🤣🤣
Maana kuna power supply ya Dell ya Ampere 131.3A ya USA (yaan hii ni more than required power) for all accessories.
Pioneer Bass woofer imefungwa 2 ohms. At full power from Kenwood MONOBLOCK AMPLIFIER Class D Performance series .
Clarity ya hapa sio mchezo
Bass ya 2ohms ni kisanga kizito yaan unakua unaskia ardhi kama inatitia mzee,
Hivi VETA wanatoa kozi ya sound system? Natamani niisome hii kozi, kuna mahali kwenye kazi zangu nahitaji kuongezea hii kitu. Nimeona umedadavua vyema sana, utakuwa na utaalam mkubwa kwenye sound za musicYeah Clarity ipo, siwezi kuisemea sana kwa sababu alinitestia na manyimbo ya kibongo ya wasafi yale with some Nigerian pop!Simu yangu niliacha ndani ya gari parking so sikuwa na pairing device nikatumia ya muuzaji pale pale.
Ila its clarity is audible mpaka nilimwambia apunguze kidogo mchicha. Mi huwa sipendi mziki wenye mids kali, napenda Bass na highs ziwe juu kidogo na balanced.
Ila kwenye bass department that thing did an exceptional job! Japo nyimbo zilikuwa mbaya ile they sounded great. Haina Flat bass kama misabufa mingine ya kichina ile ya boombass tu! Nafikiri ndio maana wameweka speaker za aina 2 tofauti ku cover Lowest Bass Notes na Mid Bass notes! Kwahivyo unapata full dynamic range effects.
Yeah, curiosity pia inafanya tunajifunza vingiHivi VETA wanatoa kozi ya sound system? Natamani niisome hii kozi, kuna mahali kwenye kazi zangu nahitaji kuongezea hii kitu. Nimeona umedadavua vyema sana, utakuwa na utaalam mkubwa kwenye sound za music
Kama una presha sijui kisukari hapa sio mahala pako
Ananipata dodoma nzuguni ndo ninapoishimtu akitamani kuja isikiliza anakupata wapi?
Ok. Safi sana.Ananipata dodoma nzuguni ndo ninapoishi