mkuu mpm nyani ngabuNingepata mtu wa kunitafsiria ningefurahi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu mpm nyani ngabuNingepata mtu wa kunitafsiria ningefurahi sana
Kinachocheleweshaga kesi nyingi ni ukosefu wa ushahidi ambao kwa kesi hii ushahidi uko wazi...Bado sijaamini hizi habari, labda waandishi wa hili gazeti ndio wale wale. Inakuwaje akamatwe jana leo tu afungwe?
Amekiuka masharti na miko au kuna damu kama si laana vinamuandama...hatatumikia kifungo chote atatoka kwa msamaha wa parole lakini hii yaweza kuwa mwanzo wa mwisho wakeNaona karma inamumaliza mzee wa ekotike kitaratibu
Kongo kakamatwa leoBado sijaamini hizi habari, labda waandishi wa hili gazeti ndio wale wale. Inakuwaje akamatwe jana leo tu afungwe?
LeoHiyo case ilianza kusikilizwa lini?
Mkuu acha tu afungwe amejisahau sana.Huwezi kufanya kitu kama hicho tena in public....no way ngoja anyoookeHakuna hata kesi mahakamani?
Ni kutoa amri tu...kamata funga huyo?
Only in Africa!