Koffi Olomide, Mzee Wa "Mizigo"

Hahahah ...dah cindy mtoto ana saut nyororo kumbe vogue ilitumika [emoji23][emoji23]
 
Dah very interesting mkuu..asante kwa uchambuzi mahiri.
Ila nlitaka sana kujua kuhusu u black magic wao wanaoutumia kuna mtu alisemaga humu kwenye thread au ni wewe mkuu?!

Kwa mfano nilisoma ya fally ipupa nilishangaa sana
 
Hivi huyo mzee ni mzima kweli maana inaonekana anapenda totoz balaa.
Hahaha nikisema mizigo ni mizigo kweli sio mchezo kiongozi...
"usimuoneshe mkeo koffi olomide" unafikiri kwanini waliandika vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wakuu naomba mniwekee link ya huyo ndugu aliewadadavua wasanii hawa na mambo yao ya kishirikina,pliz,pliz,pliz naomba mniwekee.nna hamu sn ya kusoma huo Uzi.natanguliza shukrani.
Mimi mwenyewe nautafuta mkuu sijaupata bado ila ni noma acha tu waone tu pale jukwaani
 
Mkuu umeniwahi tu kusema haya uliyoyasema,tatizo la GENTAMYCNE anawapenda sana bcbg wengemusica na wenge maison merre kiasi kwamba wamemtia upofu hata haoni ubora wa koffie Olomide but all in all koffie ni baba ya muziki kwa kizazi cha NNE Kongo.
Hapo kwenye kizazi cha nne mkuu.,,,,naomba untajie cha kwanza mpaka cha sasa na wanamuziki wake pia
GENTAMYCINE ahsante kwa kushusha data mujarab kwa kiwango kilichotukuka....
 
Cha kwanza ni cha akina Luambo Luanzo Makiadi,Tabu Ley,Papa Wemba kikafuata cha kina Kandabongoman, Boziboziana,Zaiko Langalanga,Loketo,Pepe Kalle, Dally Kimoko,Diblo Madilu system hiki kwa maoni yangu ndiyo kilikuwa kizazi cha dhahabu,halafu cha kina Werrason,JB,Extra Musica,Adolf Dominguez,Blasie Bula na cha sasa cha kina Fally Ipupa na Felle Gola.
 
Ferre gola hajawahi kuwa ktk kundi la quarel latin la koffi olomide - le padre alianzia mziki wenge musica 4x4 kabla ya kuvunjika ikiwa na akina werrason ngiama na JB mpiana baada ya mvunjiko aliendelea na JB Kidogo sana then akahamia kwa werrason baadae akajitegemea hizo album unazoona na koffi ni kuwa wameshirikiana tu featuring
 
Hakuna mwanamuziki wa kikongomani ninayependa kusikiliza nyimbo zake ambazo hazijakaa kwenye mfumo wa kuchezeka sana kama Papa Wemba,I really like him
 
huyu jamaa ana ngoma yake inaitwa droit di veto,kwa kbongo ina sound kama k*m* inauma... k*m* inaumaaa...
beloo belloo belloo...
 
Dah very interesting mkuu..asante kwa uchambuzi mahiri.
Ila nlitaka sana kujua kuhusu u black magic wao wanaoutumia kuna mtu alisemaga humu kwenye thread au ni wewe mkuu?!

Kwa mfano nilisoma ya fally ipupa nilishangaa sana

Yap Mkuu hawa Wanamuziki wa Congo karibia wote bila ' Ndumba ' muziki haunogi na ' wanaroga ' sana hawana ' utani ' katika hili.

Koffi Olomide... Hapandi jukwaani katika concert lolote bila kwenda ' chooni ' kujimwagia ' mkojo ' wake.

JB Mpiana... Hapandi jukwaani bila ' kumeza ' Chura ambaye lazima atafutwe eneo analoenda kupiga show yake.

Werrason... Hapandi jukwaani bila ama kufanya Mapenzi na ' Sokwe ' Jike au ' kubeba ' makende yake ( pumbu ) ambalo hupenda sana kuyaweka katika begi lake ' maalum ' linalowekwa pale pale jukwaani anapopiga.

Fally Ipupa baada ya kufanikiwa kumtoa ' Kafara ' Mama yake mzazi na kushtukiwa na kulaumiwa sana na Wakongo siku hizi kabadilisha mbinu zake za Ushirikina / Ulozi na sasa hupendelea sana kujifunga ' Kitambaa ' chake ' Chekundu ' usoni au akiwa anakinusa nusa kila mara na huwa akimaliza tu kupiga show yake ' hukichoma ' moto.

Ferre Gola... Hapandi jukwaani bila ' kunywa ' damu ya nyoka wakali na huu mtindo au aina ya ' Uchawi ' anaoutumia unafahamika sana kwa jina la ' Kindoki '.

Natamani sana uniulize hawa akina Twanga Pepeta, FM Academia na huyu Kijana Christian Bella kama na wao wanatumia ndumba au la kwani kwa ninachokijua kuwahusu kama nikikiweka hapa ' hadharani ' katika ' matamasha ' yao Watu hatutakuwa tunaenda tena kutokana na kwamba ni hatari, hatari, hatari Mkuu.

Hivi umeshajiuliza ni kwanini Bendi ambayo ilikuwa inakuja vizuri na imeshakamata kama ya Mashujaa sasa imepotea? Kwa tuliohudhuria ile show yao ya mwaka 2012 December pale Leaders Club na kilichotokea pale sishangai leo hii hiyo Bendi ' kupotea '. Naomba niishie hapa tafadhali!
 
Daaah mkuu basi kama ni hivo naomba uje PM uniambie private please.
 
Mkuu asante kwa kuwahi kujibu,nilichelewa sana kufungua jf lakini kabla sijamjibu mdau nikaiona hii ya kwako. Shukrani,umejitahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…