Koffi Olomide: Special Thread

Show kama hizi sio za kila mtu...hazihitaji nyomi la watu..na ndio maana kiingilio kidogo kimechangamka..ni show flan za kifaza..za kistaarabu..
 
Niko upanga hapa Nina ticket mbili ila moja kesho haitatumika koz jamaa yangu kapatwa na dharura ila kwa heshima yangu Bora hii ticket ipotee kuliko kuiuza maana id yangu jf ni mtaji wa trillion dollars
 
sasa dola elfu arobaini ni kidogo!
 
Hivi na shabiki wa YANGA atakuwa kanunua tiketi leo kumuona KOFFI kesho wakati anajua jioni ya kesho atakuwa na huzuni ya kufungwa!! AU NI MASHABIKI WA SIMBA TU NDIO WATAJAA MLIMANI CITY KESHO!
 
HATA KOFFIE NAYE KAFANYA KAMA DAMOND TU! ALISHALIPWA CHAKE ZAMANI.HAO WATAKAOPIGA MPUNGA WA KIINGILIO HICHO NI ASAS NA WENZAO
 
Bongo fleva wana mengi kujifunza kupitia hii shoo ya leo manake hapa KISANOLA linapigwa acha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…