Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii show itakua live ama?
Kaimba nani hicho?
Kaimba nani hicho?
Namimi sina mkuuHivi kumbe mimi tu ndio sina hela[emoji134][emoji134][emoji134]
Sema huna hela, wenzako wanalipa laki na zaka wanalipa laki hata 3
Mopao Dawa yake anaichemsha Ferre Gola...ni suala la muda.Hii habari mbona tokea asubuhi tunayo[emoji23],
Koffi Olomide[emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa dola elfu arobaini ni kidogo!Kiingilio laki moja au milioni moja kwa meza moja yenye viti kumi na tiketi zote zimenunuliwa masaa 24 kabla ya show.
# Gracious Mopao.
# Muziki ya wakubwa.
# Somo kwa Diamond na wenzake: Acheni kupiga show za bure. Zile show Diamond unalipwa na kampuni Dola elfu arobaini upige show ya bure uwanjani kwa AJILI ya kupromote bidhaa au huduma za kampuni hiyo mwisho wa siku zitakuja kuua biashara ya show za muziki Tanzania.
Hiyo itawazoeza vibaya watanzania na mwisho wa siku ukipiga show ya kiingilio people won't show up.
# Kuuza album ilikufa.
# Show za mtu mmoja nazo zilikufa.
# Now mnataka kuua kabisa biashara ya show.
Jifunzeni kwa management ya Koffi. Asas wametoa kibunda cha kutosha kwa Koffi na show kiingilio laki na tiketi zote zimenunuliwa
HATA KOFFIE NAYE KAFANYA KAMA DAMOND TU! ALISHALIPWA CHAKE ZAMANI.HAO WATAKAOPIGA MPUNGA WA KIINGILIO HICHO NI ASAS NA WENZAOKiingilio laki moja au milioni moja kwa meza moja yenye viti kumi na tiketi zote zimenunuliwa masaa 24 kabla ya show.
# Gracious Mopao.
# Muziki ya wakubwa.
# Somo kwa Diamond na wenzake: Acheni kupiga show za bure. Zile show Diamond unalipwa na kampuni Dola elfu arobaini upige show ya bure uwanjani kwa AJILI ya kupromote bidhaa au huduma za kampuni hiyo mwisho wa siku zitakuja kuua biashara ya show za muziki Tanzania.
Hiyo itawazoeza vibaya watanzania na mwisho wa siku ukipiga show ya kiingilio people won't show up.
# Kuuza album ilikufa.
# Show za mtu mmoja nazo zilikufa.
# Now mnataka kuua kabisa biashara ya show.
Jifunzeni kwa management ya Koffi. Asas wametoa kibunda cha kutosha kwa Koffi na show kiingilio laki na tiketi zote zimenunuliwa
Ila kuna jamaa kanistua na kibao cha One dollar...ndiyo kwanza nimejua kipo...Kwenda youtube... yaana ni kibao cha dakika 7. Zilivyoisha hizo dakika sijajua...!
Kakimbia muhuni huyu.Akikujibu tushtuane