Hao wote wanazungumza ki inglish, sidhani kama tutaelewana.
Wakamuelimishe sozinje jinsi ya kuongoza nchi yenye katiba inayotambua vyama vingi vya siasa.
Usisahau na Tume Huru ya Uchaguzi Mkuu badala ya hii Tume ambayo ni kitengo cha MACCM.
Sikuwahi kutarajia kama Tanzania siku moja inaweza kuwa na Rais katili na wa ovyo kwa kiwango hiki.Usisahau na Tume Huru ya Uchaguzi Mkuu badala ya hii Tume ambayo ni kitengo cha MACCM.
Wee sema rubbish tu..Absolutely rubish
Sikuwahi kutarajia kama Tanzania siku moja inaweza kuwa na Rais katili na wa ovyo kwa kiwango hiki.
Magumashi ndio AOMBE hili kufanyika?Ayi wishi ayikuludu bii ayijipiiHao wote wanazungumza ki inglish, sidhani kama tutaelewana.
Kuna ugomvi gani? Ni dictatorship ya mtu mmoja! Dictator mmoja na wala siyo ugomvi wa CCM na vyama vingine!..hali inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyokwenda.
..DAMU imeshamwagika.
..watu wamepata VILEMA.
..wazee wa hapa nchini, pamoja na viongozi wa dini, wameshindwa kutuliza joto la kisiasa.
..Umefika wakati wa kutafuta watu wazito wenye busara toka nje ya nchi kuja kusuluhisha.
..Ni vizuri tukatafuta usuluhishi mapema kabla mambo hayajaharibika kabisa au wakati tumesambaratika.
..Nadhani Mzee Koffi Annan, Jaji Luis Moreno Ocampo, na Mzee Thabo Mbeki, wanaweza kutusaidia ktk hili.
..hali inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyokwenda.
..DAMU imeshamwagika.
..watu wamepata VILEMA.
..wazee wa hapa nchini, pamoja na viongozi wa dini, wameshindwa kutuliza joto la kisiasa.
..Umefika wakati wa kutafuta watu wazito wenye busara toka nje ya nchi kuja kusuluhisha.
..Ni vizuri tukatafuta usuluhishi mapema kabla mambo hayajaharibika kabisa au wakati tumesambaratika.
..Nadhani Mzee Koffi Annan, Jaji Luis Moreno Ocampo, na Mzee Thabo Mbeki, wanaweza kutusaidia ktk hili.
Kwanza kabisa calibre ya hawa watu unaozungumzia hapa si wa kuja kujadili siasa nyepesi kama hizi za Tanzania. Kabla hujafikiria hata kusuluhishwa lazima ujiulize tatizo letu lipo wapi. Je tatizolipo kwenye tafsiri ya sheria au tatizo lipo kwa watu wenyewe. Kama tatizolipo kwenye tafsiri ya sheria labda unaweza kutafuta msuluhishi, lakini tatizo letu lipo zaidi kwenye watu wenyewe- in maturity of opposition parties!!
Mkuu JokaKuu hakuna cha kusuluhisha kama unamaanisha usuluhisho huo unahusisha CCM!
Nasema hakuna cha kusuluhisha kwa sababu usuluhishi unahitajika pale pande mbili hasimu zote kwa pamoja zinapokuwa hazipendezwi na kinachoendelea lakini situation inakuwa beyond their control kuleta utengamano wanaouhitaji!
Kinyume chake, CCM wala hawakerwi na kinachoendelea...
Mwenyekiti wa CCM wala hakerwi kwa yanayoendelea...
Rais wa nchi wala hakerwi kwa yanayoendelea...
Viongozi kadhaa wa CCM wala hawakerwi kwa yanayoendelea...
In short, wote hawa wanayapenda na kuyashadadia yanayoendelea!
Hao ukiwaambia uwasuluhishe watakushangaa na kukukejeli kwa sababu ndani ya fikra zao ni kwamba mchezo umefika patamu! Watafurahia kila aina ya rafu wanazopiga na kuhusudu umahiri wao katika upigaji wao wa rafu za wazi!