Kofi Annan, Luis Ocampo na Thabo Mbeki waombwe kusuluhisha vyama vya siasa Tanzania

Kofi Annan, Luis Ocampo na Thabo Mbeki waombwe kusuluhisha vyama vya siasa Tanzania

..nadhani UCHAGUZI wa 2020 usimamiwe na UMOJA WA MATAIFA, pamoja na JUMUIYA YA MADOLA.
Nchi gani ilishafanyika hiyo, tofauti na wao kuwa waangalizi tu? Kma nchi jirani ambko ndiko kumeshanuka zaidi lkn hakuna aliyewahi kuingilia, hapa kwetu kuna nini cha ajabu ambcho hakijawahi kutokea tena mara kumi zaidi ya huko lkn hawakuhusika kusimamia badala yake wakawa observers. .
 
..hali inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyokwenda.

..DAMU imeshamwagika.

..watu wamepata VILEMA.

..wazee wa hapa nchini, pamoja na viongozi wa dini, wameshindwa kutuliza joto la kisiasa.

..Umefika wakati wa kutafuta watu wazito wenye busara toka nje ya nchi kuja kusuluhisha.

..Ni vizuri tukatafuta usuluhishi mapema kabla mambo hayajaharibika kabisa au wakati tumesambaratika.

..Nadhani Mzee Koffi Annan, Jaji Luis Moreno Ocampo, na Mzee Thabo Mbeki, wanaweza kutusaidia ktk hili.
A big joke
 
Wewe mzee JokaKuu umeanza kuchanganyikiwa, hawana muda mchafu hao wa kuanza kusuluhisha “kujiliza” kwenu. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa wala dalili ya mgogoro wa kisiasa. Rafiki wa CDM Kenyata huku akipewa sifa kede kede na CDM ameua zaidi ya watu 100. Hakuna aliyemgusa wala atakayemgusa.

Hizi kelele zote mwisho ni 2020, mkishashindwa ubunge mtakuwa kama NCCR Mageuzi, na CCM walivyo na fitna wataanza kukipa promo chama kingine cha upinzani. Nyie wazee wa CDM ni wanafiki sana, saivi mnajaribu kila njia kuleta hali ya taharuki, uzuri wa JPM hacheki na kima, ukifanya upuuzi anakutandika nyundo tu.
Siku hizi kila nyuzi zinazoanzishwa hppa ni za kujipa matumaini kweli upinzani umeisha.
 
Nchi gani ilishafanyika hiyo, tofauti na wao kuwa waangalizi tu? Kma nchi jirani ambko ndiko kumeshanuka zaidi lkn hakuna aliyewahi kuingilia, hapa kwetu kuna nini cha ajabu ambcho hakijawahi kutokea tena mara kumi zaidi ya huko lkn hawakuhusika kusimamia badala yake wakawa observers. .

..hakuna ubaya wowote Tanzania tukiwa wa kwanza.

..after all Tz inapokea misaada ya kibajeti, ikiwemo fedha za kuendesha uchaguzi.

..kwa hiyo si vibaya UN na JUMUIYA YA MADOLA wakatusaidia ktk kusimamia uchaguzi ili mambo yaende vizuri na kusiwe na misuguano ktk mchakato mzima wa uchaguzi mkuu.
 
Tuiombe IEBC ya Kenya. Ile iliyompa mshikaji wetu Kenyata Ushindi

..ha ha ha.

..hapana.

..labda tuazime wale Majaji wa Mahakama ya Rufaa ya Kenya.

..ktk Jumuiya ya Madola suala hilo linawezekana.

..kwa mfano, kuna kipindi Jaji Samatta, na Jaji Mfalila, walikwenda kusaidia mahakama ya Zimbabwe.
 
Wewe mzee JokaKuu umeanza kuchanganyikiwa, hawana muda mchafu hao wa kuanza kusuluhisha “kujiliza” kwenu. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa wala dalili ya mgogoro wa kisiasa. Rafiki wa CDM Kenyata huku akipewa sifa kede kede na CDM ameua zaidi ya watu 100. Hakuna aliyemgusa wala atakayemgusa.

Hizi kelele zote mwisho ni 2020, mkishashindwa ubunge mtakuwa kama NCCR Mageuzi, na CCM walivyo na fitna wataanza kukipa promo chama kingine cha upinzani. Nyie wazee wa CDM ni wanafiki sana, saivi mnajaribu kila njia kuleta hali ya taharuki, uzuri wa JPM hacheki na kima, ukifanya upuuzi anakutandika nyundo tu.

mpaka leo sijaelewa kwa nini CDM walimpa support kenyata, sijajua
 
Si wewe pekee yako Mkuu bali Watanzania wengi tu ndiyo sababu hofu na taharuki kubwa nchini zinazidi kuongezeka.

Vyama vya siasa ndio shida.
CHADEMA chama changu kilishajijenga ni kikawa IMARA sanaaaa. Watanznia wengi wakakiona ndicho chama chenye misingi na kinachoeleweka.
Yule mstaafu wa Tiss akatuletea jamaa kukitengua nguvu zake.
Sasa kimekuwa cha hovyohovyo tu. Viongozi wananunulika kila kunapokucha.
It will take years kurudia uimara ule wa enzi za Dr Slaa.
 
..hata kama tatizo ni hicho unachoita " immaturity of opposition parties" bado naamini kuna ulazima wa wasuluhishi kuja kututatulia mgogoro tulio nao.

..kuna tatizo ambalo tusipokuwa makini linaweza kutuletea madhara makubwa huko mbeleni. Sasa it is better kutafuta msaada kabla hali haijawa mbaya zaidi.
tatizo gani hilo- be specifi. Shida kubwa sana kwenye siasa za Tanzania niwapinzani kuhamia ruling party, it appears watu wengi walipoenda opposition walitegemea mambo fulani fulani ambayo hawapati, they just forgot kuwa siasa za opposition ni sacrifice, na hii ndiyo inmaturity yenyewe ninayozunumza
 
..ha ha ha.

..hapana.

..labda tuazime wale Majaji wa Mahakama ya Rufaa ya Kenya.

..ktk Jumuiya ya Madola suala hilo linawezekana.

..kwa mfano, kuna kipindi Jaji Samatta, na Jaji Mfalila, walikwenda kusaidia mahakama ya Zimbabwe.
Wale IEBC ndo wazuri.
Waliwagomea majaji kufungua server ili akina RAILA wasije wakaona kura za mshikaji wetu Kenyata zilivyo nyingi.
 
..hakuna ubaya wowote Tanzania tukiwa wa kwanza.

..after all Tz inapokea misaada ya kibajeti, ikiwemo fedha za kuendesha uchaguzi.

..kwa hiyo si vibaya UN na JUMUIYA YA MADOLA wakatusaidia ktk kusimamia uchaguzi ili mambo yaende vizuri na kusiwe na misuguano ktk mchakato mzima wa uchaguzi mkuu.
Nchi huru haijawahi kusimamiwa na watu wa nje kumchagua rais wake, itasimamiwa labda kipindi cha mpito ambcho hawana uhuru kamili wa kujiongoza lkn cyo taifa la miaka 55 kma tz ambpo vinatokea vitukio vidogo vidogo vya kisiasa kma sehemu zingine, kma mnataka hiyo labda tuji genocide wenyewe ili waje kutusimamia, lkn hata hiyo bado itakuwa ngumu, hata Rwanda baada ya mauaji yao ya kimbali walisimama wenyewe wale wakisuluhisha pande hasimu na siyo kusimamia chaguzi zao.
 
tatizo gani hilo- be specifi. Shida kubwa sana kwenye siasa za Tanzania niwapinzani kuhamia ruling party, it appears watu wengi walipoenda opposition walitegemea mambo fulani fulani ambayo hawapati, they just forgot kuwa siasa za opposition ni sacrifice, na hii ndiyo inmaturity yenyewe ninayozunumza

..mbona kama jibu unalo tayari.

..unasema kuwa upinzani inabidi watu wa SACRIFICE.

..hilo ni tatizo kubwa ktk demokrasia yetu.

..watu wanauwawa, wanatiwa vilema, wanatekwa,..mambo kama hayo hayapaswi kuachwa yaendelee yatakuja kulisambaratisha taifa.
 
Nchi huru haijawahi kusimamiwa na watu wa nje kumchagua rais wake, itasimamiwa labda kipindi cha mpito ambcho hawana uhuru kamili wa kujiongoza lkn cyo taifa la miaka 55 kma tz ambpo vinatokea vitukio vidogo vidogo vya kisiasa kma sehemu zingine, kma mnataka hiyo labda tuji genocide wenyewe ili waje kutusimamia, lkn hata hiyo bado itakuwa ngumu, hata Rwanda baada ya mauaji yao ya kimbali walisimama wenyewe wale wakisuluhisha pande hasimu na siyo kusimamia chaguzi zao.

..sisi tunaweza kuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo.

..ni kwa faida yetu sisi wenyewe.
 
wako wapi maraisi wenye busara Mwinyi na Kikwete?
Mawaziri wakuu wenye busara ndani ya ccm ie, Ahmed salim, Warioba na malecele?
 
..siamini kama ccm wote wanafurahishwa na mambo ya hovyo-hovyo yanayoendelea.

..kinachokosekana na ujasiri tu wa kuwekana sawa ktk chama chao.
Of course sio wote lakini kwa bahati mbaya wasiofurahishwa hawana gut wala uwezo wa kuwaambia wale wanaofurahishwa; hususani Mwenyekiti kwamba "This's wrong na tunatakiwa kubadili hali! "

Na hata wakiwa na huo uwezo, ni hadi Mwenyekiti aone kuna tatizo!

Ukiona outspoken secretary kama Kinana yupo kimya ni kwamba hafurahishwi na yanayoendelea lakini ameshindwa kumshawishi Mwenyekiti kwamba "this's not right" kwa sababu Mwenyekiti anaona hii ndiyo siasa yenyewe hasa na "lazima watukome kwa sababu walidekezwa sana na yule Mswahili!"

Kinyume chake, unapokuta Viongozi wa hovyo kama akina Pole pole wakiendelea kufanya na kutoa kauli za hovyo repeatedly; hiyo ni ishara tosha kwamba Mwenyekiti anaona "this's my guy"

So, unless Mwenyekiti na Rais (ambae hivi sasa ana unwritten supreme power) aone kuna tatizo ndipo usuluhishi utawezekana!

Na huyu Mheshimiwa aliyejivika u-Ayatollah akishafahamu tu kwamba kuna tatizo na akachukia kwa yanayoendelea basi wala hatutafikia kwenye kuwahitaji akina Mbeki kwa sababu Mwenyekiti Mwenyekiti Rais mwenyewe ndio msingi wa tatizo na ana nafasi kubwa kuondoa tatizo husika kwa sababu yeye mwenyewe ni sehemu ya tatizo!
 
Back
Top Bottom