Wewe mzee
JokaKuu umeanza kuchanganyikiwa, hawana muda mchafu hao wa kuanza kusuluhisha “kujiliza” kwenu. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa wala dalili ya mgogoro wa kisiasa. Rafiki wa CDM Kenyata huku akipewa sifa kede kede na CDM ameua zaidi ya watu 100. Hakuna aliyemgusa wala atakayemgusa.
Hizi kelele zote mwisho ni 2020, mkishashindwa ubunge mtakuwa kama NCCR Mageuzi, na CCM walivyo na fitna wataanza kukipa promo chama kingine cha upinzani. Nyie wazee wa CDM ni wanafiki sana, saivi mnajaribu kila njia kuleta hali ya taharuki, uzuri wa JPM hacheki na kima, ukifanya upuuzi anakutandika nyundo tu.