Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile pesa aliyopewa Mbowe ili CCM wasimamishe mgombea kupitia chama chetu haikutoka kwenye kodi zetu?
Mbona kuna mamburula humu ndani yanaona sawa tu?
too low..hali inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyokwenda.
..DAMU imeshamwagika.
..watu wamepata VILEMA.
..wazee wa hapa nchini, pamoja na viongozi wa dini, wameshindwa kutuliza joto la kisiasa.
..Umefika wakati wa kutafuta watu wazito wenye busara toka nje ya nchi kuja kusuluhisha.
..Ni vizuri tukatafuta usuluhishi mapema kabla mambo hayajaharibika kabisa au wakati tumesambaratika.
..Nadhani Mzee Koffi Annan, Jaji Luis Moreno Ocampo, na Mzee Thabo Mbeki, wanaweza kutusaidia ktk hili.
Kwa hiyo una maana mwenyekiti alikuwa anapiga hela tu.Una akili finyu wewe! Mimi na huyo fisadi lowassa wapi na wapi!? Usilazimishe vitu ambavyo haviko. UZWAZWA wako mwisho lumumba siyo humu.
Hakuna cha kusuluhisha hapa Tz kwa sababu hakuna mgogoro wowote unaohitaji suluhu. Ni suala la wapinzani kubadilisha namna ya kufanya siasa na serikali iliyopo na watambue kwamba kwa vyovyote vile utawala wa JK hauwezi kuwa sawa na wa JPM kwa namna yoyote iwavyo...hata kama tatizo ni hicho unachoita " immaturity of opposition parties" bado naamini kuna ulazima wa wasuluhishi kuja kututatulia mgogoro tulio nao.
..kuna tatizo ambalo tusipokuwa makini linaweza kutuletea madhara makubwa huko mbeleni. Sasa it is better kutafuta msaada kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Hakuna cha kusuluhisha hapa Tz kwa sababu hakuna mgogoro wowote unaohitaji suluhu. Ni suala la wapinzani kubadilisha namna ya kufanya siasa na serikali iliyopo na watambue kwamba kwa vyovyote vile utawala wa JK hauwezi kuwa sawa na wa JPM kwa namna yoyote iwavyo.
Magufuli abadilike ili aweje? Wa kubadilika ni hawa ambao wanatakiwa kushindana na mtu mwenye style tofauti na waliyekuwa wanashindana naye awali ambaye ni JK. Wanaolia lia ndo hao wa kubadilika...sawa.
..wapinzani wanatakiwa wabadilike.
..lakini naamini watawala, na haswa Raisi Magufuli, wanatakiwa wabadilike.
..katika mazingira hayo anatakiwa msuluhishi au wasuluhishi ku-facilitate hizo pande mbili kubadilika.
Aongezwe na grace mugabe..basi aongezwe Mama Graca Machel Mandela anazungumza Kiswahili ili kuwasaidia wasuluhishi wanaozungumza " ki-inglish."
Magufuli abadilike ili aweje? Wa kubadilika ni hawa ambao wanatakiwa kushindana na mtu mwenye style tofauti na waliyekuwa wanashindana naye awali ambaye ni JK. Wanaolia lia ndo hao wa kubadilika.
Kama mmeshindwa kuwatii wazazi wenu (baba na mama) mtawatii majirani zenu? Kuna aliye bora kuliko baba na mama hapa duniani?Hali inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyokwenda.
DAMU imeshamwagika.
Watu wamepata VILEMA.
Wazee wa hapa nchini, pamoja na viongozi wa dini, wameshindwa kutuliza joto la kisiasa.
Umefika wakati wa kutafuta watu wazito wenye busara toka nje ya nchi kuja kusuluhisha.
Ni vizuri tukatafuta usuluhishi mapema kabla mambo hayajaharibika kabisa au wakati tumesambaratika.
Nadhani Mzee Koffi Annan, Jaji Luis Moreno Ocampo, na Mzee Thabo Mbeki, wanaweza kutusaidia ktk hili.
Kama mmeshindwa kuwatii wazazi wenu (baba na mama) mtawatii majirani zenu? Kuna aliye bora kuliko baba na mama hapa duniani?
Kweli mkuu, Kwa wote hao hakuna atakaye rudi bungeni. Kwani kwa hali ilivyo hakuna cha kura,ni kutanganza wapendwa tu kama chaguo za marudio.Yaani unachekesha sana mkuu. Wazee wazito hao badala ya wafaye mambo ya msingi wewe unataka waje kushughulikia upuuzi wa chadema? Mule hakuna chama cha siasa ila ni saccos tu ya kupiga hela. Kwenu nyie ni fujo, majungu, utapeli, ujinga, ubinafsi, uchochezi, na wizi. Lengo ni kukifuta hicho chama chenu na dalili utaziona. 2020 kama Mbowe, Lema, Nassari, Sugu, na wabunge wote wa upinzani Dar, Heche, Bulaya na Matiko wakirudi Bungeni njoo uhukue hii VX V8 yangu, bureeeeeeeeee.
Unaona kuua ni sawa tu.Mwenyezi Mungu akusaidie.Hakuna cha kusuluhisha hapa Tz kwa sababu hakuna mgogoro wowote unaohitaji suluhu. Ni suala la wapinzani kubadilisha namna ya kufanya siasa na serikali iliyopo na watambue kwamba kwa vyovyote vile utawala wa JK hauwezi kuwa sawa na wa JPM kwa namna yoyote iwavyo.
Acheni ujinga, Tz kuna nini cha kusuluhisha?? Kuna mambo ya maana wanatakiwa kufanya sio huu upuuzi wa hapa.Hali inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyokwenda.
DAMU imeshamwagika.
Watu wamepata VILEMA.
Wazee wa hapa nchini, pamoja na viongozi wa dini, wameshindwa kutuliza joto la kisiasa.
Umefika wakati wa kutafuta watu wazito wenye busara toka nje ya nchi kuja kusuluhisha.
Ni vizuri tukatafuta usuluhishi mapema kabla mambo hayajaharibika kabisa au wakati tumesambaratika.
Nadhani Mzee Koffi Annan, Jaji Luis Moreno Ocampo, na Mzee Thabo Mbeki, wanaweza kutusaidia ktk hili.
Kama yupo mzazi anayemruhusu mwanae kuvuta ile kitu huyo siyo riziki..wazazi lazima waheshimiwe.
..lakini wapo wazazi wanaopoteza heshima ya watoto wao kutokana na wao wazazi kutojiheshimu na kutokuonyesha upendo kwa watoto.
..katika mazingira hayo majirani wana wajibu wa kuingilia kati ili kurejesha heshima, upendo, na masikilizano, ktk familia husika.
..