Kofi Annan, Luis Ocampo na Thabo Mbeki waombwe kusuluhisha vyama vya siasa Tanzania

Kofi Annan, Luis Ocampo na Thabo Mbeki waombwe kusuluhisha vyama vya siasa Tanzania

..uzi huu niliupandisha mwaka 2018.

..nimeona nifukue kaburi kuona watu walizungumza nini miaka hiyo.

NB:

..Koffi Annan, Louis Ocampo, nao wameshafariki.

cc brazaj, Nguruvi3

Aina za kina mwamba ni aina za kina Biya, Nkurunziza, Museveni, Mugabe na wa namna hiyo.

Wakipata madaraka hao ni majuto zaidi!
 
Back
Top Bottom