Kofi la mkunga kwa mama mjamzito limebeba ujumbe mzito; Wakunga wana mema mengi ya kusimulia

Ila kuna mkuu wa wilaya anaruhusiwa kumchalaza bwana Miraji fimbo za kutosha[emoji16] au afsa elimu kumzaba vibao mwalimu Kagere???
Hapa tunazungumzia ya mkunga mkuu, hawa wengine waache watafute sifa za kijinga kulinda ugali Kwa boss wao siku watakutana na chizi akisha mchapa na yeye anatemeshwa Meno kama sita hivi, wanajikuta wanagawana majumba ya serikali, huyu boss wao mwenyewe hajafikia hatua hii ya kupiga watu viboko, wanafikiri raia tunafurahia ujinga huo.
 
Ila kuna mkuu wa wilaya anaruhusiwa kumchalaza bwana Miraji fimbo za kutosha😁 au afsa elimu kumzaba vibao mwalimu Kagere???
Hata shamba boy/house girl akija kuwa bosi anafanya hivyo hivyo ka alivyofanyiwa, effect za ukoloni hazijaisha
 

Interview haitoshi, kazi hizo ili ufanye kwa weledi inabidi uipende kutoka moyoni.

Kutokana na umasikini wetu wengi huenda huko ili wapate ajira matokeo yake ndo hayo.

Same applies to walimu.
 
Pole mkuu
 
Wakati unafanya hayo ukiwa na Mimba yako au utaiweka pembeni kwanza?
 
Mkuu, hivi huu ujasiri nilionao ni wa kiumbe kinachoconcieve mimba kweli??🤪,
Hivi ujasiri wa mjamzito unauona mdogo! Anyway Sasa huyo mkunga mtakutana naye wapi mbali na leba ili akupige kofi?
Au ulimaanisha kwenye daladala?
 
Vile vitanda haviko kwa kazi hiyo
Okay,,kwa hiyo akaona sakafu ndio ipo kwa kazi hiyo siyo.Watoto wengi tuu wanazaliwa kwenye vitanda vya kawaida siyo maeneo yote yenye vitanda special vya kutosha vya kujifungulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…