Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuwawa kwa amri ya Rais Magufuli

Hakika hayati alikuwa mwovu sana
 
Magufuli alikuwa katili aliyeona kuua watu ndio namna nzuri ya kupambana nao, cha ajabu yeye mwenyewe kalamba mchanga hata miaka 10 ya urais hakumaliza.
 
Kwani yanayoendelea sasa ni ya ubinadamu?
 
Uzi wenye nia ya kusambaza chuki dhidi ya hayati JPM. Tatizo linaloushusha hadhi huu uzi ni upatikanaji wa ukweli wa yote yanayoandikwa muda huu kuhusiana na matukio yaliyotokea miaka zaidi ya mitano iliyopita.
 
Weka jina la kitabu na mwandishi hapa tukipakue. Au ikibidi weka pdf hapa
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!
 
Uzi wenye nia ya kusambaza chuki dhidi ya hayati JPM. Tatizo linaloushusha hadhi huu uzi ni upatikanaji wa ukweli wa yote yanayoandikwa muda huu kuhusiana na matukio yaliyotokea miaka zaidi ya mitano iliyopita.
Kama mpaka leo hukujua unyama wa Jiwe basi unastahili kuhurumiwa
 
Kibendera kajaa chuki zaidi ya ukweli.Hata meja mstaafu Ali kibao ni vile Magufuli alikuwa ameshakufa angesingiziwa kwenye hichi kitabu.Mara kuna jenerali mmoja mstaafu alikuwa akipokea simu anaingia uvunguni kuongea kwa kumuogopa Magufuli.
Halafu uvunguni anaongea sauti yake ikiwa in silence mode.
 
sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997

Hivyo hii inadhihirisha mchango wa askari wa Tanzania katika vita Sehemu mbalimbali kama Congo DR, Uganda, Mozambique, Seychelles, Comoro, South Sudan n.k

Sera alizosema mheshimiwa Tundu Lissu kuhusu mguso wa utawala wa Mwalimu Julius Nyerere katika mataifa ya Kikanda na jirani ya Tanzania alipokuwa anatoa mhadhara kwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere University nchini Uganda.


View: https://m.youtube.com/watch?v=QHX4HvOq5k8
Na wachezaji wengine wasio kuwa wakidola non State entities kama Lugumi Strategy Enterprise katika viwanja vya mapambano nje ya mipaka ya Tanzania


View: https://m.youtube.com/watch?v=2VBQWatsY-g
Mikono mfumo wa hurani (ghost) ya Tanzania katika sehemu mbalimbali za mapigano kupitia uhusika wa nafsi kificho ya tatu iwe askari mamluki, kukodiwa au kampuni za binafsi, alama zake za vidole fingerprints zipo kila sehemu


View: https://m.youtube.com/watch?v=DsVv92xvUCk
 
Kama mpaka leo hukujua unyama wa Jiwe basi unastahili kuhurumiwa
Ushahidi wa hayo mauaji wa Kadego haupatikani kwa story nyepesi za kutungwa na huku mitandaoni.

Ukiamini ujinga mwingi unaoandika unakuwa sawa na wale wanaomshambulia kila rais anayekuwepo madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…