Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuwawa kwa amri ya Rais Magufuli

Uwongo hiyooo! Uwongo buana!!!!!
 
Hii habari ya Kadego nimeifupisha, ila kwenye kitabu ipo kwa urefu. Inawezekana nimeifupisha sana ikaleta mkabganyiko ila haiondoi ukweli kuwa Kadego aliuwawa kwa oda ya Jiwe kwa mujibu wa Mwandishi
 
My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
Ujinga mtupu,

Mzee Kibao kauwawa akiwa na umri gani?

Slaa anasoteshwa akiwa na umri gani na wasio waoga?
 
Mitandao hii ni shida ndugu yangu. Unataka niiondoe hiyo picha? Unafikiri hilo litasaidia cho chote?
 
Reactions: Tsh
Alifikiri atatawala milele hicho ndicho kilichokuwa kinamsumbua.
 
Unaamini katika majungu? Kabendera since amekuwa affected na mfumo wa magufuli kamwe hawezi kumsema vizuri.
Kitabu cha Majungu, hata hao publishers wasingekubali kwasababu wangefunguliwa mashtaka, lakini mpaka sasa hivi hakuna hata mtu mmoja aliyekanusha kilichoandikwa na Kabendera.

Na kama angekuwa labda aliyeongelewa ni Kikwete wengi tungekataa na kupinga kwasababu Kikwete anajulikana lakini Magufuli alikuwa ni katili mwenye chuki za kijinga hakufaa kuwa Raisi labda uwaziri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…