Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuwawa kwa amri ya Rais Magufuli

Kuna madai na upande wa pili hayupo kujibia tuhuma hizi.

Kabendera anamumisi sana Hayati JPM..
 
Inasikitisha sana
 
Stori naona haijajitosheleza kwanza kabendera anasema alipata kikaratasi akiwa gerezani hana uhakika wowote na hiyo taarifa.
Kadego alifanya kosa gani/ alikosana nini na Magufuli mpaka kumtumia watu?
Siwezi kumpinga Kabendera pia sina hoja ya kumkubali. Lakini kwa waliokiwepo enzi za yule Mwamba aisee hali ilikuwa inatisha. Hata sasa hali si nzuri
 
Kwàni mlivyoomuua Ali Kibao hakuwa mzee? Kwañini mnasema ya magufuli tuu haya ya sasa mnaona sawa? Achaneni na marehemu m deal na waliohai.
 
Hawa jamaa waliamua kuwa low profile baada ya kutoka jela.Ilikuwa siyo raising kuwajua.Mimi nilikuwa.msomaji mzuri wa gazeti la RAI nikawa nimesoma masimulizi ya kapten Maganga kuhusu jaribio la hayo mapinduzi.Miaka kadhaa baadaye nikaja kukutana na Maganga wakati naoa kwani mke wangu akimuita Maganga mjomba kiukoo.Hapo ndo nikaja kufahamiana na Maganga.Maganga akanitambulisha kwa Kadego,Badru Kajaja na kunihakikishia kuwa Zakaria Hanspope wa Simba alikuwa ni mwenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…