cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Kuna madai na upande wa pili hayupo kujibia tuhuma hizi.
Kabendera anamumisi sana Hayati JPM..
Kabendera anamumisi sana Hayati JPM..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaa
Ushamjua Laigwanan tundu lissu.mwandishi ana psychosis huyo hata akiona mtu anaefanana na magu anapandisha mashetani.
Wanalalaa2Kweli.![]()
wazuri hawafi
![]()
Inasikitisha sanaEti mtu GEREZANI halafu mtu huyo huyo apate habari mbaya tu zaidi ya 100 kumhusu mtu mmoja tu....... tena taarifa hizo akizipata akiwa gerezani tena kutoka vyanzo tofauti....!
UFADHILI na NGUVU nyingi inayotumika kumchafua MAGUFULI unatia mashaka sana juu ya wenzetu hawa wenye ufadhili wa moja kwa moja wa nchi za ULAYA......
(Nimefurahi kwa sehemu kwa TRUMP kuifutilia mbali USAID kwani inafadhili baadhi ya machafuko kwenye nchi kama upuuzi huu)
NB: baada ya USAID kufaliki, tutegemee wanasiasa wengi "waliojikimbiza" kurejea na kuacha upuuzi wao wa kuichafua nchi yetu pendwa kwa manufaa yao na ya WEUPE
Wafuasi wa Jiwe walete hoja hapa sio kubwabwaja, tunawasubiri
Kinasomwa hakizungumzwi kitabuMbona kitabu hakizungumziwi tena..?
Siwezi kumpinga Kabendera pia sina hoja ya kumkubali. Lakini kwa waliokiwepo enzi za yule Mwamba aisee hali ilikuwa inatisha. Hata sasa hali si nzuriStori naona haijajitosheleza kwanza kabendera anasema alipata kikaratasi akiwa gerezani hana uhakika wowote na hiyo taarifa.
Kadego alifanya kosa gani/ alikosana nini na Magufuli mpaka kumtumia watu?
Kwàni mlivyoomuua Ali Kibao hakuwa mzee? Kwañini mnasema ya magufuli tuu haya ya sasa mnaona sawa? Achaneni na marehemu m deal na waliohai.Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”
Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.
Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.
Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.
My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
Je wwe una prove hiyo kua kafanya kweli!?Huna prove hiyo kama wamemuongezea
Yaani Jenerali anaingia uvunguni.Afisa mkubwa wa jeshi afanye kituko kama hicho kisa kuongea na simu nikaona huu utoto sasa.Halafu uvunguni anaongea sauti yake ikiwa in silence mode.
Hawa jamaa waliamua kuwa low profile baada ya kutoka jela.Ilikuwa siyo raising kuwajua.Mimi nilikuwa.msomaji mzuri wa gazeti la RAI nikawa nimesoma masimulizi ya kapten Maganga kuhusu jaribio la hayo mapinduzi.Miaka kadhaa baadaye nikaja kukutana na Maganga wakati naoa kwani mke wangu akimuita Maganga mjomba kiukoo.Hapo ndo nikaja kufahamiana na Maganga.Maganga akanitambulisha kwa Kadego,Badru Kajaja na kunihakikishia kuwa Zakaria Hanspope wa Simba alikuwa ni mwenzao.Upo ukakasi mwingi sana hapa.
Magufuli aliyekuwa na miaka karibia sawa na Kadego Eti ndio amtambue Kadego kuwa ni mmoja wa Makomandoo walioshiriki jaribio la kumpindua Nyerere? Miaka tele baada?
Kweli mtu ambaye alikuwa Serikalini kupitia wizara mbalimbali asijue Kadego alishiriki katika Uasi, hata kwa vinongo'onezo?
Mimi Syllogist nilikuwa najua Kadego alishiriki na sikuwa serikalini.
Aaaah Kabendera! Hapo umebugi
Ni "hakumuua" na si " akumuua" ndugu misasa .Uongo mtupu
Kwanini akumuua Kabendera?