Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuwawa kwa amri ya Rais Magufuli

Hiki kitabu sijajisumbua hata kukisoma, maana katika maisha ukiishi bila kuongozwa na hisia itakusaidia kutenganisha uongo na ukweli.
 
Kwanini yeye kabendera aliyekuwa akimchafua magufuli kila siku hakuuawa aje auawe mtu ambaye hajawahi hata siku moja kumkosoa magufuli hadharani?
 
Kwa jinsi ninavyoelewa, mpango huu wa kumchafua Hayat Rais J.P. Magufuli, ni kuzima "Fikra" kwa kusaidiwa na AI, kilichokosekana baada ya jitihada za kina Erythrocyte ChoiceVariable aka @Sunk cost Fallacy plus 1&2 na genge la mamluki hapa JF kuwa debunked, wakatafuta mtu ambaye anaweza kutumika kama mtu mwenye authority(undani undani)na credibility. Kabendera fits the criteria. umasikini na njaa zake pia ulitiliwa maanani.

Ametumika! hata waandishi wenzake wanatambua hilo.



Hayat Rais J.P.M na mwamsho wake wa kuitaka Tanzania na Afrika kujitegemea na kuacha kuwashobokea Wazungu, ilitikisa Dunia.

...iliwakwaza sana Wazungu na vibaraka wao
 
Magufuli anachafuliwa kwani alikuwa msafi?
 
Kwanini yeye kabendera aliyekuwa akimchafua magufuli kila siku hakuuawa aje auawe mtu ambaye hajawahi hata siku moja kumkosoa magufuli hadharani?
Ni swali kila Mtanzania anapaswa kujiuliza.
 
Kabendera aliandika ukweli kuhusu dhalimu magu.
 
Uongo hautakusaidia lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…