Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Sina mimi nimemsoma kabendera...Je wwe una prove hiyo kua kafanya kweli!?
Huyo anaepinga ndie athibitishe kwamba no hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina mimi nimemsoma kabendera...Je wwe una prove hiyo kua kafanya kweli!?
Ulikuwa wapi ?Weka jina la kitabu na mwandishi hapa tukipakue. Au ikibidi weka pdf hapa
Kwanini yeye kabendera aliyekuwa akimchafua magufuli kila siku hakuuawa aje auawe mtu ambaye hajawahi hata siku moja kumkosoa magufuli hadharani?Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President.
Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere.
Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza la Segerea wakati alipopewa kesi ya uhujumu uchumi, utakatishaji wa fedha pamoja ukwepaji kodi. “ Nilikuwa selo wakati nilipopewa kikaratasi kutoka kwa mtu asiyejulikana akiniambia kuwa Chistopher Kadego alikamatwa siku 3 nyuma kabla ya kukamatwa kwangu kisha kupigwa risasi na watu wasiojulikana.”
Kabendera anaendelea kufafanua; Kadego nilimfahamu kama miaka 15 iliyopita na alikuwa mtu mwema, sema kitendo chake kushiriki katika makundi mbalimbali ya waasi kama lile kundi la Kabila katika Vita dhidi ya Mobutu mwaka 1997 na baadae kupinga baadhi ya maamuzi ya Magufuli nafikiri matatizo yalianzia hapo.
Magufuli akapenyezewa taarifa kuwa Kadego alikuwa ni Komando mstaafu hatari na aliyeshiriki jaribio la kumpindua Nyerere.
Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.
Akatekwa na kupigwa risasi na watu waliokuja kujulikana baadae kuwa ni watu wa ikulu.
My note;
Hayati alikuwa muoga sana, unamuuaje mzee wa miaka 67? Hayati hakuwa na ubinadamu kabisa.
Sasa kama lugha haipandi utasomaje mkuu? Maana kimeandikwa kwa KiingerezaHiki kitabu sijajisumbua hata kukisoma, maana katika maisha ukiishi bila kuongozwa na hisia itakusaidia kutenganisha uongo na ukweli.
Kwa jinsi ninavyoelewa, mpango huu wa kumchafua Hayat Rais J.P. Magufuli, ni kuzima "Fikra" kwa kusaidiwa na AI, kilichokosekana baada ya jitihada za kina Erythrocyte ChoiceVariable aka @Sunk cost Fallacy plus 1&2 na genge la mamluki hapa JF kuwa debunked, wakatafuta mtu ambaye anaweza kutumika kama mtu mwenye authority(undani undani)na credibility. Kabendera fits the criteria. umasikini na njaa zake pia ulitiliwa maanani.Hawa jamaa waliamua kuwa low profile baada ya kutoka jela.Ilikuwa siyo raising kuwajua.Mimi nilikuwa.msomaji mzuri wa gazeti la RAI nikawa nimesoma masimulizi ya kapten Maganga kuhusu jaribio la hayo mapinduzi.Miaka kadhaa baadaye nikaja kukutana na Maganga wakati naoa kwani mke wangu akimuita Maganga mjomba kiukoo.Hapo ndo nikaja kufahamiana na Maganga.Maganga akanitambulisha kwa Kadego,Badru Kajaja na kunihakikishia kuwa Zakaria Hanspope wa Simba alikuwa ni mwenzao.
Magufuli anachafuliwa kwani alikuwa msafi?Eti mtu GEREZANI halafu mtu huyo huyo apate habari mbaya tu zaidi ya 100 kumhusu mtu mmoja tu....... tena taarifa hizo akizipata akiwa gerezani tena kutoka vyanzo tofauti....!
UFADHILI na NGUVU nyingi inayotumika kumchafua MAGUFULI unatia mashaka sana juu ya wenzetu hawa wenye ufadhili wa moja kwa moja wa nchi za ULAYA......
(Nimefurahi kwa sehemu kwa TRUMP kuifutilia mbali USAID kwani inafadhili baadhi ya machafuko kwenye nchi kama upuuzi huu)
NB: baada ya USAID kufaliki, tutegemee wanasiasa wengi "waliojikimbiza" kurejea na kuacha upuuzi wao wa kuichafua nchi yetu pendwa kwa manufaa yao na ya WEUPE
Ni swali kila Mtanzania anapaswa kujiuliza.Kwanini yeye kabendera aliyekuwa akimchafua magufuli kila siku hakuuawa aje auawe mtu ambaye hajawahi hata siku moja kumkosoa magufuli hadharani?
Kabendera aliandika ukweli kuhusu dhalimu magu.Kwa jinsi ninavyoelewa, mpango huu wa kumchafua Hayat Rais J.P. Magufuli, ni kuzima "Fikra" kwa kusaidiwa na AI, kilichokosekana baada ya jitihada za kina Erythrocyte ChoiceVariable aka @Sunk cost Fallacy plus 1&2 na genge la mamluki hapa JF kuwa debunked, wakatafuta mtu ambaye anaweza kutumika kama mtu mwenye authority(undani undani)na credibility. Kabendera fits the criteria. umasikini na njaa zake pia ulitiliwa maanani.
Ametumika! hata waandishi wenzake wanatambua hilo.
Hayat Rais J.P.M na mwamsho wake wa kuitaka Tanzania na Afrika kujitegemea na kuacha kuwashobokea Wazungu, ilitikisa Dunia.
...iliwakwaza sana Wazungu na vibaraka wao
Uongo hautakusaidia loloteKwa jinsi ninavyoelewa, mpango huu wa kumchafua Hayat Rais J.P. Magufuli, ni kuzima "Fikra" kwa kusaidiwa na AI, kilichokosekana baada ya jitihada za kina Erythrocyte ChoiceVariable aka @Sunk cost Fallacy plus 1&2 na genge la mamluki hapa JF kuwa debunked, wakatafuta mtu ambaye anaweza kutumika kama mtu mwenye authority(undani undani)na credibility. Kabendera fits the criteria. umasikini na njaa zake pia ulitiliwa maanani.
Ametumika! hata waandishi wenzake wanatambua hilo.
Hayat Rais J.P.M na mwamsho wake wa kuitaka Tanzania na Afrika kujitegemea na kuacha kuwashobokea Wazungu, ilitikisa Dunia.
...iliwakwaza sana Wazungu na vibaraka wao
mlishindwa, mka watoa kafara ben saanane, tundu lissu na sasa kabendera.Magufuli anachafuliwa kwani alikuwa msafi?
Magufuli ni noma, anaogopa hadi tubabu?Ikumbukwe Kadego alikuwa na miaka 67 hivyo hakuwa Kadego yule kijanaa machachari. Hayati Magufuli aliagiza Kadego “ashughulikiwe” maana alikuwa anahatarisha usalama wake.
Narudia tena, Kabendera ameandika ukweli kuhusu dhalimu magu.mlishindwa, mka watoa kafara ben saanane, tundu lissu na sasa kabendera.
mkimalizana naye mtamuua
Unatia aibu sana!mlishindwa, mka watoa kafara ben saanane, tundu lissu na sasa kabendera.
mkimalizana naye mtamuua
Kumbe na wwe ni hearsay kama Kabendera, basi asante kwa habari za udaku!!Sina mimi nimemsoma kabendera...
Huyo anaepinga ndie athibitishe kwamba no hapana
Kingereza sio tatizoSasa kama lugha haipandi utasomaje mkuu? Maana kimeandikwa kwa Kiingereza
Angemuua Kabendera ndio ungekuwa ukweliukweli ni upi