Komando na Manati

Unasubiri mpaka wa advance ndo na wewe uadvance, itakuwa too late. Fuatilia vita ya Armenia na Azerbaijan utaona umuhimu wa kujiandaa mapema.
Ni kweli mkuu hapo sasa nimekuelewa nimejaribu kufatilia hapa mtandaoni hii vita ya Armenia na Azerbaijan duuuh aiseee nimejifunza kitu
 
Ni kweli mkuu hapo sasa nimekuelewa nimejaribu kufatilia hapa mtandaoni hii vita ya Armenia na Azerbaijan duuuh aiseee nimejifunza kitu
Yah, jamaa(Azeribaijan) alijiandaa kwa kujifunza weekeness za mwenzake, alijiandaa kuhakikisha ana drones za kutosha ( Byraktar), mwezake alikuwa na misilaha mizito lakini vita alishinda asubuhi na mapema.
 
Hao wanaopewa hizo package siyo wenzenu, wenzenu ni hawa wanaoenda na manati za kuwindia...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: Antonnia
 
Huwezi onesha kila kitu hadharani, hayo ni maonesho tu na ndio maana ukifuatilia sana ni km huwa wanarudia rudia
 
Naona komandoo wa kwenye picha yetu hakukumbuka kubeba hivi vyakula. Inshallah panapo majaliwa kama atasoma comments hizi mwakani atabeba kilo kadhaa za chakula ili kunogesha mbwembwe zake kwenye maonyesho ya sikukuu husika.
 
Huwezi onesha kila kitu hadharani, hayo ni maonesho tu na ndio maana ukifuatilia sana ni km huwa wanarudia rudia
Aisee hawa makomandoo wetu ni hatari sana!

Hata Navy SEALs hawaoni ndani.

Yaani hawa wa kwetu wangepewa kazi ya kumtafuta Osama baada ya 9/11, ingechukua siku mbili tu kumpata.

Na ndo maana huwezi kuwaona Delta Force, Army Rangers, au Navy SEALs kwenye maonyesho yoyote yale kwa sababu watatia aibu tu ukilinganisha na hawa wa kwetu!

JWTZ ni jeshi hatari sana 🫡.

😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…