Drone muhimu sana kwenye survaillance, n hata guidance, yale mambo ya kufyatua makombora bila kujua yanatua wapi yamepitwa na wakati, vita siku hizi ni uchumi, tumia silaha chache but maangamizi makubwa. Kuna hizi pia zinaitwa quadcopter, ni drones zinabeba mizinga au grenades zinakuja mpaka hapo juu yako zeni kinaachia bomu. Hizo drones zimebadilisha sana tides ya vita kwa sana. Kuna zingine zinaitwa fpv drones ni drones zinakuwa suicidal inakuja kujibamiza hapo mlipo but inakuwa imebeba milipuko. Kombination na hiyo inaweza hamisha vita kwenye favour yenu.