sitagliptin
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,208
- 2,525
Jeshi limejitokeza na kukemea alichosema huyo RC mpumbavu? Mimi nadhani ungekuja na ushahidi kuwa jeshi limesema halitahusika ''kufanya usafi mitaani'' na huyo RC aache kuropoka.Hao ni commando nadhani kila kitu kipo wazi alichosema yeye mkuu hapo kuwa wanatumika kisiasa jambo ambalo nilikuwa namkatalia (Refer kauli ya RC pia naimani unafahamu askari 5000 ki vita ni idadi sawa na kitu gani)..
Vita vya namna hii ni za enzi za IDI AminMbona hawakutuonyesha drones na ishu za electronic warfare, maana vita ya siku hz imebadilika sana, kuna hitajika men on boots but bila drones na jammers hiyo vita itakuwa ngumu sana kwako. Wajifunze kupitia vita ya Ukrain.
Hayo malori na vifaru siyo sababu ya wewe kushinda vita, drones electronic warfare ndiyo kila kitu, kuanzia kwenye survaillance mpaka guidance ya mabomu na artillery. Rwanda wanewekeza sana kwenye hilo baada ya kuona amszungukwa na nanchi yenye silaha nzito nzito.
Kwenye maonyesho wanabeba angalau vitu vyote kwa ujumla. Kwa sababu ya maonyesho.Sikuwahesabu. Huenda kwakuwa hawakuwa wamebeba sufuria na mnanati. Tutumie picha ya komando wa Monusco aliyeveba fire extinguisher na sufuria
View attachment 2871116View attachment 2871118
Wasifanye hivyo coz wanatupa sababu za kukosoaKwenye maonyesho wanabeba angalau vitu vyote kwa ujumla. Kwa sababu ya maonyesho.
Vilevile mazingira ya upambanaji yanatofautiana.
Mazingira fulani ndiyo yanachagua nyenzo gani muhimu uwe nazo. Na lengo haswa la mission ni nini!
Precisely my sentiments!Tanzania usanii ni mwingi. Hawa wanatumika kutishia raia lakini kiuhasilia hawana lolote. Waswahili hawakukosea waliposema debe tupu haliishi kuvuma.
Hapana! Hawatupatii sababu za kukosoa.Wasifanye hivyo coz wanatupa sababu za kukosoa
Unamaanisha tufikie wakati tukiona mapungufu tukae kimya.Hapana! Hawatupatii sababu za kukosoa.
Isipokuwa watanzania tuna tabia moja! Tabia ya ujuaji.
Ifike pahala tufahamu si kila jambo la kila mtu.
Tukifika hiyo hatua basi tutaheshimu majukumu ya kila mtu.
Mshamba tu nchi inaliwa unapigwa wao wamebeba mamizigo km wakimbizi wa congo
Pumbavu kabisa!
Una taaluma yoyote ya masuala ya kijeshi (mbinu na medani za kimapambano)?Unamaanisha tufikie wakati tukiona mapungufu tukae kimya.
Uongo kwani?Hahahahaha,Mkuu
Hakuna lolote unalojua hapo,vita gani na manatiNingekupa maana ila ulichonikwaza umehoji kwa kukashifu.
Japo nikupe picha kidogo una uelewa gani na survival skills hasa katika jungle?
Ukiwa huna taaluma huwezi ona mapungufu unamaanisha..dakatari akizingua huwezi jua coz siyo dr. Sisi kama raia wa kawaida tunaongea, nyie wenye taaluma mtueleweshe, tunatamani kuona vitu vizuri zaidi.Una taaluma yoyote ya masuala ya kijeshi (mbinu na medani za kimapambano)?
Uko sahihi MkuuUongo kwani?
Hayo sio mapungufu tajir, Hizo ni possibilitiesUnamaanisha tufikie wakati tukiona mapungufu tukae kimya.
Okey sawa mkuu. Kwa kutuonyesha possibilities zote, sisi tujajua ndivyo wanavyoendaga vitaniHayo sio mapungufu tajir, Hizo ni possibilities
Komando jideHivi akuna makomando wanawake?