Komando na Manati

Komando na Manati

tanzania itakuwa taifa la kwanza commando kutumia manati

nchi za wenzetu huu ujinga hauwezi kuwepo
mara fire extinguisher
ya nini

zaid ni kumfanya awe mzito hata kukimbia au kukimbiza ashindwe ulingoni mwa vita
mara miwani ya kuchomelea hivyo kweli si hapana

labda kwa kuwa ni sherehe na wameweza kusherehesha

dunia ya sasa ni vita vya kisasa
technology ndo inarun vita

mfano ma drone sio tu helicopter
kanapaa kanalipuliwa sekunde n drone

komandoo utafikir mbeba mizigo

hapana
 
Hao ni commando nadhani kila kitu kipo wazi alichosema yeye mkuu hapo kuwa wanatumika kisiasa jambo ambalo nilikuwa namkatalia (Refer kauli ya RC pia naimani unafahamu askari 5000 ki vita ni idadi sawa na kitu gani)..
Jeshi limejitokeza na kukemea alichosema huyo RC mpumbavu? Mimi nadhani ungekuja na ushahidi kuwa jeshi limesema halitahusika ''kufanya usafi mitaani'' na huyo RC aache kuropoka.
 
Mbona hawakutuonyesha drones na ishu za electronic warfare, maana vita ya siku hz imebadilika sana, kuna hitajika men on boots but bila drones na jammers hiyo vita itakuwa ngumu sana kwako. Wajifunze kupitia vita ya Ukrain.

Hayo malori na vifaru siyo sababu ya wewe kushinda vita, drones electronic warfare ndiyo kila kitu, kuanzia kwenye survaillance mpaka guidance ya mabomu na artillery. Rwanda wanewekeza sana kwenye hilo baada ya kuona amszungukwa na nanchi yenye silaha nzito nzito.
Vita vya namna hii ni za enzi za IDI Amin
 
Sikuwahesabu. Huenda kwakuwa hawakuwa wamebeba sufuria na mnanati. Tutumie picha ya komando wa Monusco aliyeveba fire extinguisher na sufuria
View attachment 2871116View attachment 2871118
Kwenye maonyesho wanabeba angalau vitu vyote kwa ujumla. Kwa sababu ya maonyesho.

Vilevile mazingira ya upambanaji yanatofautiana.

Mazingira fulani ndiyo yanachagua nyenzo gani muhimu uwe nazo. Na lengo haswa la mission ni nini!
 
Kwenye maonyesho wanabeba angalau vitu vyote kwa ujumla. Kwa sababu ya maonyesho.

Vilevile mazingira ya upambanaji yanatofautiana.

Mazingira fulani ndiyo yanachagua nyenzo gani muhimu uwe nazo. Na lengo haswa la mission ni nini!
Wasifanye hivyo coz wanatupa sababu za kukosoa
 
Tunachelewa sana watanzania katika nyanja ya vita!!! Yani mpaka leo tunatumia manati vitani.....???
 
Hapana! Hawatupatii sababu za kukosoa.

Isipokuwa watanzania tuna tabia moja! Tabia ya ujuaji.

Ifike pahala tufahamu si kila jambo la kila mtu.

Tukifika hiyo hatua basi tutaheshimu majukumu ya kila mtu.
Unamaanisha tufikie wakati tukiona mapungufu tukae kimya.
 
Una taaluma yoyote ya masuala ya kijeshi (mbinu na medani za kimapambano)?
Ukiwa huna taaluma huwezi ona mapungufu unamaanisha..dakatari akizingua huwezi jua coz siyo dr. Sisi kama raia wa kawaida tunaongea, nyie wenye taaluma mtueleweshe, tunatamani kuona vitu vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom