akilimalikisuse
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 263
- 138
Wakuu,habari za mihangaiko ya kutafuta ridhiki?Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu mtu anae itwa komando.Je,ni cheo? ni uwezo wa Siha au utimamu wa mwili ulio pita kiasi cha uvumilivu?Wana patikanaje katika ngazi ya jeshi?.Nchi kama Tanzania ina kadiriwa kuwa na makomandoo wangapi?
Nitashukuru sana nikipatiwa ufafanuzi huo
Nitashukuru sana nikipatiwa ufafanuzi huo