*Anaerukaruka,,kupiga push up,,kukanyaga moto,,,kulalia misumari,,,kunjiwa matofali kifuani,,,na mwisho kutoa heshima kwa mkuu wa kaya mr sizonje ktk sherehe za muungano,,uhuru,,Wakuu,habari za mihangaiko ya kutafuta ridhiki?Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu mtu anae itwa komando.Je,ni cheo? ni uwezo wa Siha au utimamu wa mwili ulio pita kiasi cha uvumilivu?Wana patikanaje katika ngazi ya jeshi?.Nchi kama Tanzania ina kadiriwa kuwa na makomandoo wangapi?
Nitashukuru sana nikipatiwa ufafanuzi huo