akilimalikisuse
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 263
- 138
Wakuu,habari za mihangaiko ya kutafuta ridhiki?Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu mtu anae itwa komando.Je,ni cheo? ni uwezo wa Siha au utimamu wa mwili ulio pita kiasi cha uvumilivu?Wana patikanaje katika ngazi ya jeshi?.Nchi kama Tanzania ina kadiriwa kuwa na makomandoo wangapi?
Nitashukuru sana nikipatiwa ufafanuzi huo
Unataka kujua idadi ya makomandoo ili iweje? Au unataka kuipindua the next qns utauliza ni wanaishi wapiWakuu,habari za mihangaiko ya kutafuta ridhiki?Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu mtu anae itwa komando.Je,ni cheo? ni uwezo wa Siha au utimamu wa mwili ulio pita kiasi cha uvumilivu?Wana patikanaje katika ngazi ya jeshi?.Nchi kama Tanzania ina kadiriwa kuwa na makomandoo wangapi?
Nitashukuru sana nikipatiwa ufafanuzi huo
Wametukana sana kule lakn hakuna namna maisha lazma yasongehawawezi k ya ile show yao pale viwanja vya jamuhuri.
nashukuru sanaKomandoo ni mtu aliyepitia kozi maalumu ya mafunzo ya kijeshi.
Kozi hiyo hufanyika baada ya askari kupitia mafunzo ya kozi ya awali(Recruits training schoo au RTS).
RTS kwa sasa ni RTS Oljoro na RTS Msata(Kihangaiko), ile RTS ya Makutupola Dodoma ilishasitishwa.
Baada ya RTS ndio baadhi ya askari huchaguliwa kwenda kujifunza mafunzo maalumu ya ukomandoo(kwa ufupi hawa ndo high level trained soldiers), kozi yao ni 92KJ Ngerengere hapo Morogoro.
Sitaki swali zaidi ya hapo.
Kwanini wawatukane,wana makosa gani...binafsi ninavutiwa na maonyesho plus wajihi waohawawezi kujitokeza kuja kujibu maana tayari kuna Uzi wa kuwadhalilisha ulianzishwa baada tu ya ile show yao pale viwanja vya jamuhuri.
sawaMleta Thread Usipate Tabu
Nenda Google Ukafanye Searching
Huu Mjadala Umeshajadiliwa Humu Jf Na Majibu Mazuri Utayapata
Komandoo ni mtu aliyepitia kozi maalumu ya mafunzo ya kijeshi.
Kozi hiyo hufanyika baada ya askari kupitia mafunzo ya kozi ya awali(Recruits training schoo au RTS).
RTS kwa sasa ni RTS Oljoro na RTS Msata(Kihangaiko), ile RTS ya Makutupola Dodoma ilishasitishwa.
Baada ya RTS ndio baadhi ya askari huchaguliwa kwenda kujifunza mafunzo maalumu ya ukomandoo(kwa ufupi hawa ndo high level trained soldiers), kozi yao ni 92KJ Ngerengere hapo Morogoro.
Sitaki swali zaidi ya hapo.
shukranihawawezi kujitokeza kuja kujibu maana tayari kuna Uzi wa kuwadhalilisha ulianzishwa baada tu ya ile show yao pale viwanja vya jamuhuri.
Komandoo na special forces ni kitu kimoja.Nilivyoelewa komandoo ni mwanajeshi awe na cheo asiwe nacho aliyepewa mafunzo maalumu ya kikomandoo. Nauliza tofauti ya komandoo na special force?
Na washawasha!
Shukran kamanda ova....!!Komandoo ni mtu aliyepitia kozi maalumu ya mafunzo ya kijeshi.