faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,719
Lengo la maelzo yko ni kujbu hoja ikiwa maelzo yko hayajajitoshelza kwa nn hutaki swali?Komandoo ni mtu aliyepitia kozi maalumu ya mafunzo ya kijeshi.
Kozi hiyo hufanyika baada ya askari kupitia mafunzo ya kozi ya awali(Recruits training schoo au RTS).
RTS kwa sasa ni RTS Oljoro na RTS Msata(Kihangaiko), ile RTS ya Makutupola Dodoma ilishasitishwa.
Baada ya RTS ndio baadhi ya askari huchaguliwa kwenda kujifunza mafunzo maalumu ya ukomandoo(kwa ufupi hawa ndo high level trained soldiers), kozi yao ni 92KJ Ngerengere hapo Morogoro.
Sitaki swali zaidi ya hapo.
Sio kila special force ni komandoo.Komando na special force ni kitu kimoja? Mimi sijui lakini sidhani kama ni sahihi..ngoja nisubiri wataalamu
Hili sio swali, mi sio mwanasiasa usilete mambo yenu ya malumbano.Lengo la maelzo yko ni kujbu hoja ikiwa maelzo yko hayajajitoshelza kwa nn hutaki swali?
Unanga wangu nini?Ww natoka hapa
Nanga sana
Kaa kimya sasa kma malumbno huyaweziHili sio swali, mi sio mwanasiasa usilete mambo yenu ya malumbano.
Huna mamlaka ya kuniamuru nikae kimya.Kaa kimya sasa kma malumbno huyawezi
Jeshi liko wapi?Jeshi na mitandao wapi na iweje?
Jiangalie
Unanitusi au unamaanisha nini?Chipa dunyawe
Mamlaka ni hoja zko ndo zitakuamuru ukae kimya na jazba hazna msaada ktk hiliHuna mamlaka ya kuniamuru nikae kimya.
Kwani unatakaje labda maana nakuona unalialia hata hueleweki unalilia niniMamlaka ni hoja zko ndo zitakuamuru ukae kimya na jazba hazna msaada ktk hili
Hutaki swali tena mkuu, umenichekesha.Komandoo ni mtu aliyepitia kozi maalumu ya mafunzo ya kijeshi.
Kozi hiyo hufanyika baada ya askari kupitia mafunzo ya kozi ya awali(Recruits training schoo au RTS).
RTS kwa sasa ni RTS Oljoro na RTS Msata(Kihangaiko), ile RTS ya Makutupola Dodoma ilishasitishwa.
Baada ya RTS ndio baadhi ya askari huchaguliwa kwenda kujifunza mafunzo maalumu ya ukomandoo(kwa ufupi hawa ndo high level trained soldiers), kozi yao ni 92KJ Ngerengere hapo Morogoro.
Sitaki swali zaidi ya hapo.
Kwa hyo commando haiangalii level ya elimu yake,ni mafunzo tu bhas??Sio kila special force ni komandoo.
Special force ni watu maalumu waliobobea katika jambo flani, ambapo wao ndio huhitajika kwa ajili ya kukabiliana na tukio lolote linalohusiana na eneo ambalo wao ni wataalamu.
Kwa mfano FFU ni special force kwa polisi kazi yao ni kutuliza ghasia( Field Force Unit).
Magereza wana special force( wanaita special task force au kikosi maalumu cha kutuliza ghasia magerezani-KMKGM).
Jwtz ndio kuna Komandoo ambao ni special task force kwa ajili ya vita nchi mbali mbali (wanaenda missions pia), kwa ufupi komandoo ndio wanajeshi waliopitia mafunzo ya hali ya juu zaidi kuzidi wanajeshi wa kawaida, nao pia wamegawanyika kuna waliojikita katika ukomandoo wa majini(Navy), kuna ambao ni ni wataalamu wa angani na pia kuna wataalamu wa vita ya ardhini lakini wote ni komandoo, kiufupi wao ndio hujifunza karibia kila kitu kuhusu vita na defence.
Kwa sababu ya kuwepo kwa viwango tofauti tofauti vya elimu kuna komandoo ni askari wa kawaida(private mpaka warranty officers) pia kuna maafisa ni komandoo(Luteni usu mpaka Luteni General au hata General kabisa)
Kama hujaelewa uliza mkuu
ukomandoo ni mafunzo ya medani za kivita, asikari jeshi anaweza kuwa komando ilihali hana cheo chochote yaani private, lakini pia katika mission za kijeshi anayeongoza platoon yoyote ya makomandoo lazima awe amewazidi cheo cha uafisa wale makomandoo anaowaongoza kwenye mission,Kwa hyo commando haiangalii level ya elimu yake,ni mafunzo tu bhas??
Komandoo na special forces ni kitu kimoja.
Wenzetu kule wanaita special force sisi huku tjnaita komando... komando ni jina lilikuwa likitumika zamani.