Komandoo ni Cheo au ni mtu wa namna gani?

Bora umeruhusu kuuliza maswali
 
wanajeshi wanaoenda congo au sudan kumbe ni makomandoo asante mkuu nilikua sijui
 
Ni kitengo nadani ya jeshi kama ilivyo MP(Polisi jeshi), Hospitali, Utamaduni (Kwaya, Bendi, Ngoma n.k) Usafirishaji, Ujenzi na vingine vingi tu vipo kila kimoja na kazi yake. Vingi ya vitengo hivyo huwajumuisha kwenye shughuli maalumu ingawa vingine hufanya shughuli husika kwa muda wote.
 
Reactions: SDG
Kaangalie movie ya komando kipensi utajua maana ya
komando
 
Reactions: SDG
Niliwah kuambiwa kuwa hata MAGEREZA kuna KIKOSI CHA MAKOMANDOO.....Je ni kweli
 
Niliwah kuambiwa kuwa hata MAGEREZA kuna KIKOSI CHA MAKOMANDOO.....Je ni kweli
soma juu hapo kwa mtoka apa ameelezea vizuri mpk makomandoo wa magereza
 
Reactions: SDG
Hahahaaaa! kwa Tz walikwepo wengi sana kama akina Power Seven; Power Mabula; Power Musoma; Power Six e.t.c hawa walikuwa na uwezo wa Kugongelea misumari kwenye mbao (Siyo ile mbao iliyomchapa Ndala) kwa kutumia kiganja, Mawe makubwa kuvunjwa vifuani mwao kwa kutumia nyundo kubwa, kuzuia pikipiki kwenda kwa kutumia kamba inayoshikiliwa na meno, magari ya tani tatu na nusu kupita juu ya vifua vyao bila kuleta madhara, kuchemsha chai kwenye kichwa cha mtu....walikuwa na matendo mengi ya kustaajabisha....

Ukivunja tofali kwa ngumi we nkomandoo kwa Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…