Komandoo ni Cheo au ni mtu wa namna gani?

*Anaerukaruka,,kupiga push up,,kukanyaga moto,,,kulalia misumari,,,kunjiwa matofali kifuani,,,na mwisho kutoa heshima kwa mkuu wa kaya mr sizonje ktk sherehe za muungano,,uhuru,,
 
wanajeshi wanaoenda congo au sudan kumbe ni makomandoo asante mkuu nilikua sijui
Wale Sio Komando kama wapo huwa wachache sana... Majority ni askari wa kawaida tu..
 
hawawezi kujitokeza kuja kujibu maana tayari kuna Uzi wa kuwadhalilisha ulianzishwa baada tu ya ile show yao pale viwanja vya jamuhuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu usiweke kinyongo ss wote ni waTz
 
Commando ni level fulani katika mafunzo maalum(ni special force ndani ya jesh la wananchi, half commando anawekewa bawa moja la ndege tai then full commando anawekewa nembo ya ndege tai mzima) .
 
Huna haja ya kuwatafuta makomandoo feki wanaosifiwa bila kuwa na chochote cha maana walichokifanya. Google umsome Otto Skorzerny huyo ndiye baba of modern commandos. Alikuwa ni Kanali ktk jeshi la Ujerumani wakati wa WWII. Moja kati ya kazi zake kubwa alizowahi kuzifanya ni kumkomboa Mussolini aliyekuwa kwenye kizuizi chenye ulinzi mkali bila kufyatua hata risasi moja. Wengine hawa unaowaona ni wacheza karate tu hamna lolote.
 
Commando ni level fulani katika mafunzo maalum(ni special force ndani ya jesh la wananchi, half commando anawekewa bawa moja la ndege tai then full commando anawekewa nembo ya ndege tai mzima) .

Mkuu naomba kueleweshwa. Hawa wanaowekewa bawa la ndege siyo askari wa kikosi cha anga?
 
khaaaaa wewe ni SOJA wa UKWELI[emoji61]
 
Komando ni mtu anayeweza kupambana na watu wasiojulikana na akasurvive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…