green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Wanahonga maraisi wa hizo nchi masikini kuwatumiaflag of Togo
⚡️BREAKING:Mbwa kala mbwa, wote mazombi wa dini ile...
⚡️BREAKING:
Iran's IRGC Navy has intercepted and seized a UAE-owned Togo-flagged oil tanker, southwest of the Iranian port of Bushehr in the Persian Gulf.
Sio wa Tinde na Nananga?Ngoja wayahudi wa Mbagala maji Matitu waje Kutoa povu.
Nenda kwenye jukwaa la mapishi ili ukaamini taarifa za kujipikilisha,Kuamini taarifa za mleta uzi ni ngumu.
Ulisha enda na mumeo kwa Papa kubarikiwa kama nilivyokushauri?Meli ya UAE imetekwa na Iran, wote ni mazombi wa hiyo dini yenu, mtafunane mtuondokee hii dunia...
Komandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel kilichopo baharini
⚡️BREAKING
Iranian commandos seized a UAE-run vessel carrying marine gas oil for Israeli warships - Fars News..
Yemeni armed forces are seriously considering strikes against Israel's vital infrastructure, including offshore gas fields - Yemen's Almasirah
View attachment 3049515
wewe unashabikia tu houth na ukute wanapiga vita kundi uliopo kwenye uislamWaarabu wanafiki sana yaani mauaji yote pale Gaza lakini Bado Wana supply mafuta kwenye meli za kivita
Hawa hawa wanaohangaika na hezbollah miaka na miaka ndio waigeuze nchi majivu?Wajinga acheni ujinga Nchi zenu zitageuzwa Majivu watu wana mabomu makubwa sana.. Hasara watapata kubwa mno sometime kuna wakati wanajiona wako sawa wakati hata sindano nchi zao haziwezi kutengeneza... wana import tu.. Israel ikiamua kuwawekea siege Yemen watapata shida and Iran ananuna ugomvi anaowasakizia waarabu wajinga wajinga.. Yetu macho.
And Bila Kusahau News Ikiletwa na Fanatic Muslim.. wana JF itilieni Shaka lazima itakuwa imejaa Uongo... i can prove it to the below Source.
Iran’s Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) Navy has confiscated a tanker carrying a huge amount of smuggled fuel in the Persian Gulf waters.
All 12 crew members with Indian and Sri Lankan nationalities were also arrested.
The second naval zone of the IRGC said in a statement on Monday that the vessel with the flag of Togo was carrying over 1.5 million liters of smuggled fuel.
The Belt Guse tanker was seized off the coast of the southern port city of Bushehr. It was smuggling fuel in an “organized way.”
Late in January, the IRGC Navy also confiscated a foreign tanker carrying two million liters of smuggled fuel in the southern waters.
Iran’s IRGC seizes foreign vessel transporting smuggled fuel
The vessel was seized in accordance with a court order off the coast of the southern port city of Bushehr.
The IRGC Navy has been using state-of-the-art detection tools over recent years to monitor all movements in the Persian Gulf and maintain the security of the marine route.
It has over the past years foiled several attacks on both Iranian and foreign tankers in the strategic Persian Gulf region and other high seas.
Hizi Meli zipo miaka yote even Iran anazo meli kama hizi za magendo kazitumia sana alipowekewa vikwazo kuuza mafuta yake
Link?Komandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel kilichopo baharini
⚡️BREAKING
Iranian commandos seized a UAE-run vessel carrying marine gas oil for Israeli warships - Fars News..
Yemeni armed forces are seriously considering strikes against Israel's vital infrastructure, including offshore gas fields - Yemen's Almasirah
View attachment 3049515View attachment 3049520