Komandoo wa Iran wateka meli ya UAE iliyokuwa inapeleka Mafuta Israel

Komandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel kilichopo baharini
[emoji298]️BREAKING

Iranian commandos seized a UAE-run vessel carrying marine gas oil for Israeli warships - Fars News..

Yemeni armed forces are seriously considering strikes against Israel's vital infrastructure, including offshore gas fields - Yemen's Almasirah

View attachment 3049515View attachment 3049520
Iran na Yemen ndio wanaume wa kweli waliobaki Middle East ...

Wengine wote ni Mchele mchele wakiongozwa na Saudia.
 
Wajinga acheni ujinga Nchi zenu zitageuzwa Majivu watu wana mabomu makubwa sana.. Hasara watapata kubwa mno sometime kuna wakati wanajiona wako sawa wakati hata sindano nchi zao haziwezi kutengeneza... wana import tu.. Israel ikiamua kuwawekea siege Yemen watapata shida and Iran ananuna ugomvi anaowasakizia waarabu wajinga wajinga.. Yetu macho.

And Bila Kusahau News Ikiletwa na Fanatic Muslim.. wana JF itilieni Shaka lazima itakuwa imejaa Uongo... i can prove it to the below Source.

Iran’s Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) Navy has confiscated a tanker carrying a huge amount of smuggled fuel in the Persian Gulf waters.
All 12 crew members with Indian and Sri Lankan nationalities were also arrested.
The second naval zone of the IRGC said in a statement on Monday that the vessel with the flag of Togo was carrying over 1.5 million liters of smuggled fuel.
The Belt Guse tanker was seized off the coast of the southern port city of Bushehr. It was smuggling fuel in an “organized way.”
Late in January, the IRGC Navy also confiscated a foreign tanker carrying two million liters of smuggled fuel in the southern waters.
Iran’s IRGC seizes foreign vessel transporting smuggled fuel

The vessel was seized in accordance with a court order off the coast of the southern port city of Bushehr.
The IRGC Navy has been using state-of-the-art detection tools over recent years to monitor all movements in the Persian Gulf and maintain the security of the marine route.
It has over the past years foiled several attacks on both Iranian and foreign tankers in the strategic Persian Gulf region and other high seas.

Hizi Meli zipo miaka yote even Iran anazo meli kama hizi za magendo kazitumia sana alipowekewa vikwazo kuuza mafuta yake
Iran aachwe aendelee kutenda haki safi sana
Taifa teule likipigwa matukio munaumia wana jf wateule poleni kwa maumivu
 
Uharo mtupu.

Kashindwa bwana yenu Marekani, UK, hao mashoga watawaweza Yemen.
 
Siyo wanafiki wanatafuta baraka kwa lazima. Ukiibariki Israel UTABARIKIWA ukiilani Israel UTALAANIWA. Maneno ya Mungu mwenyewe. Angalia tu Yemen na Gaza ile ni laana.

Adiosamigo adriz Jagina mjingamimi hydroxo inamankusweke

Wacha kumpakazia Mungu hayo maneno , lete ushahidi wapi aliyasema ?? Na kama alisema, aliisemea nchi au kabila ?? Maana Israeli ilianza 1948 baada ya uvamizi wa wazungu waliojiita waisraeli.

Kama aliisemea nchi , unatuambia Mungu alibariki mashoga ??

Ubaya ubwela Tu
 
Attachments

  • c7dd760410b741dd8e31144dfd45bf99.jpg
    c7dd760410b741dd8e31144dfd45bf99.jpg
    81.7 KB · Views: 2
Wacha kumpakazia Mungu hayo maneno , lete ushahidi wapi aliyasema ?? Na kama alisema, aliisemea nchi au kabila ?? Maana Israeli ilianza 1948 baada ya uvamizi wa wazungu waliojiita waisraeli.

Kama aliisemea nchi , unatuambia Mungu alibariki mashoga ??

View attachment 3049938
Hujui chochote wewe. Baraka iko waziwazi lakini hamtaki kuichangamkia. Shauri zenu endeleeni kuilaani taifa teule takatifu muendelee kulaaniwa hadi mwisho.
 
Komandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel kilichopo baharini
⚡️BREAKING

Iranian commandos seized a UAE-run vessel carrying marine gas oil for Israeli warships - Fars News..

Yemeni armed forces are seriously considering strikes against Israel's vital infrastructure, including offshore gas fields - Yemen's Almasirah

View attachment 3049515View attachment 3049520
Huyo alieonyesha kidole kimoja ndio komando wa Iran au?
 
Hujui chochote wewe. Baraka iko waziwazi lakini hamtaki kuichangamkia. Shauri zenu endeleeni kuilaani taifa teule takatifu muendelee kulaaniwa hadi mwisho.

Unayejuwa si utufahamishe na sisi tujuwe , Hizo baraka ziko wapi ?? Au BARAKA ni hizi wanazotuambia wenyewe wayahudi

Israel​

Percentage of gay population: 8.2 (men) and 4.8 (women)

Believe it or not, Israel seems to be the gayest country in the world per capita. Israel is one of the most developed and open-minded countries in the Middle East, we might say, and recent research on the topic of LGBT population among Israelis has shown that even 8.2% of men admit they are gay! Also, Tel Aviv Pride is one of the most visited events of that kind in the world with much over 100,000 participants coming each year.

15 Gayest Countries in the World per Capita
 
⚡️BREAKING:

According to reports, the UAE-run vessel seized by the IRGC navy was carrying marine gas oil for Israeli warships.
Hao UAE inasemekana zile ndege za Israel zingine zimetokea pale, wengine wanasema Egypt na Saud Arabia, UK na US ndio wamepiga Yemen sio Israel, yule Israel ni show off tu.

Saud Arabia analia huko unamuambia Al Houth wao hawakuhusika.

Kazi ipo.
 
Siyo wanafiki wanatafuta baraka kwa lazima. Ukiibariki Israel UTABARIKIWA ukiilani Israel UTALAANIWA. Maneno ya Mungu mwenyewe. Angalia tu Yemen na Gaza ile ni laana.

Adiosamigo adriz Jagina mjingamimi hydroxo inamankusweke
Hebu nipe QUOTE kwenye bibilia inasema ukilibariki taifa la Israel utabarikiwa, hivi kuna bibilia ilitoka toleo la 1948.

Hio point we unayo iongelea ni ya mcha Mungu, sio taifa.

Nyie mpo kifake fake tu, mpaa Mungu wenu ni fake na yule Mungu originally hamumjui 😄
 
Komandoo wa Iran wameikamata meli ya Falme za Kiarabu iliyokua inapeleka Mafuta na gas kwenye meli za Kivita za Israel. Wakati huo huo Yemen wamesema watakilipua kisima Cha mafuta Cha Israel kilichopo baharini
[emoji298]️BREAKING

Iranian commandos seized a UAE-run vessel carrying marine gas oil for Israeli warships - Fars News..

Yemeni armed forces are seriously considering strikes against Israel's vital infrastructure, including offshore gas fields - Yemen's Almasirah

View attachment 3049515View attachment 3049520
Wewe mleta uzi kama una mihemko ya kidini
 
Back
Top Bottom