Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazi yao kubwa ni kulinda watoto wa vigogo:A S cry:Ni kufanya maonyesho kwenye sherehe za kitaifa?
Hawa komandoo wanaifanyia nini Tanzania kwa wakati huu ambao nchi ina amani (haina vita)?
Kila uchao benki zinavamiwa. Polisi wanapata taarifa kwamba majambazi wanasilaha. Wanapotezea. Komandoo hawawezi kutumika kwenye mazingira haya?
Wizi wa uporaji magari na fedha za wafanyabiashara unafanyika kila kona. Komandoo hawawezi kutumika hata kuwakimbiza, kama Polisi wanaogopa?
Wanyamapori kama vile Tembo wanauawa sana. Serikali inapeleka "mgambo" kwa jina la askari wa kulinda wanyama pori. Kwanini komandoo wasitumike?
Ajali za baharini zinatokea. Wanaanchiwa wavuvi kusaidia uokozi. Kwanini komandoo wasitumike, wakati wao wamepata mafunzo ya juu kabisa ya usalama na uokoaji?
Au kazi yao ni kutumika kwenye vikosi vya umoja wa mataifa tu?
Du, swali gumu sana hili!
jamani jamani jamani hapa yatubidi tufumbe macho tu hawa wajamaa inabidi watumike tuuu mkuu kama ishu ya ujangiri wa wanyama pori mpaka amiri jeshi mkuu JK KIKWETE mwenyewe kakiri kuwashindwa majangiri sasa inamaana hata makomandoo nao siwameshindwa??mkuu ufahamu wangu unanituma kukujibu kuwa level hiyo ya ujambazi ni jukumu la polisi, makomandoo wanaingia kwenye issue kubwa ambazo madhara yake ni makubwa na yanahitaji nguvu kubwa na ya haraka kuyakabili, mfano ni ule uvamizi wa kigaidi kule kenya , hapo makomando wanaweza tumika , lakini ujambazi wa kawaida ni jukumu la polisi..
vipi namajangiri wawanyama pori ambao amiri jeshi mkuu kawanyoshea mikono kuwa amewashindwa??Tangu lini kazi ya komandoo ikawa ni kudhibiti majambazi? Nawashukuru wachangiaji waliofafanua majukumu ya kikatiba ya Jeshi la Wananchi. Jeshi halifanyi kazi kwa matangazo, zipo operation za wazi kama DRC, Comorro nk lakini pia za siri ambazo huwezi kuzisikia na hata ukizisikia zitabaki kuwa tetesi za vijiweni bila uthibitisho wowote rasmi zinazohusisha makomandoo kuhakikisha usalama wa nchi. Makomando hata katika jeshi hutumiwa kwa operesheni maalum ( special operations) zinazohitaji kiwango cha juu cha uweledi. Huwezi kuwaleta kariakoo kupambana na vibaka wakati vijana wa Kova wanawamudu.
vipi namajangiri wawanyama pori ambao amiri jeshi mkuu kawanyoshea mikono kuwa amewashindwa??
hapo hawawezi kutumika?? au kwakuwa mkubwa wao kakiri kuwashindwa basi na wao wameshindwa kuwadhibiti?
Tangu lini kazi ya komandoo ikawa ni kudhibiti majambazi? Nawashukuru wachangiaji waliofafanua majukumu ya kikatiba ya Jeshi la Wananchi. Jeshi halifanyi kazi kwa matangazo, zipo operation za wazi kama DRC, Comorro nk lakini pia za siri ambazo huwezi kuzisikia na hata ukizisikia zitabaki kuwa tetesi za vijiweni bila uthibitisho wowote rasmi zinazohusisha makomandoo kuhakikisha usalama wa nchi. Makomando hata katika jeshi hutumiwa kwa operesheni maalum ( special operations) zinazohitaji kiwango cha juu cha uweledi. Huwezi kuwaleta kariakoo kupambana na vibaka wakati vijana wa Kova wanawamudu.
Ni kufanya maonyesho kwenye sherehe za kitaifa?
Hawa komandoo wanaifanyia nini Tanzania kwa wakati huu ambao nchi ina amani (haina vita)?
Kila uchao benki zinavamiwa. Polisi wanapata taarifa kwamba majambazi wanasilaha. Wanapotezea. Komandoo hawawezi kutumika kwenye mazingira haya?
Wizi wa uporaji magari na fedha za wafanyabiashara unafanyika kila kona. Komandoo hawawezi kutumika hata kuwakimbiza, kama Polisi wanaogopa?
Wanyamapori kama vile Tembo wanauawa sana. Serikali inapeleka "mgambo" kwa jina la askari wa kulinda wanyama pori. Kwanini komandoo wasitumike?
Ajali za baharini zinatokea. Wanaanchiwa wavuvi kusaidia uokozi. Kwanini komandoo wasitumike, wakati wao wamepata mafunzo ya juu kabisa ya usalama na uokoaji?
Au kazi yao ni kutumika kwenye vikosi vya umoja wa mataifa tu?
Majangili hawana nguvu kiasi hicho. Tatizo letu tunafanya siasa kwenye kila kitu.vipi namajangiri wawanyama pori ambao amiri jeshi mkuu kawanyoshea mikono kuwa amewashindwa??
hapo hawawezi kutumika?? au kwakuwa mkubwa wao kakiri kuwashindwa basi na wao wameshindwa kuwadhibiti?
I like signature.Ni kufanya maonyesho kwenye sherehe za kitaifa?
Hawa komandoo wanaifanyia nini Tanzania kwa wakati huu ambao nchi ina amani (haina vita)?
Kila uchao benki zinavamiwa. Polisi wanapata taarifa kwamba majambazi wanasilaha. Wanapotezea. Komandoo hawawezi kutumika kwenye mazingira haya?
Wizi wa uporaji magari na fedha za wafanyabiashara unafanyika kila kona. Komandoo hawawezi kutumika hata kuwakimbiza, kama Polisi wanaogopa?
Wanyamapori kama vile Tembo wanauawa sana. Serikali inapeleka "mgambo" kwa jina la askari wa kulinda wanyama pori. Kwanini komandoo wasitumike?
Ajali za baharini zinatokea. Wanaanchiwa wavuvi kusaidia uokozi. Kwanini komandoo wasitumike, wakati wao wamepata mafunzo ya juu kabisa ya usalama na uokoaji?
Au kazi yao ni kutumika kwenye vikosi vya umoja wa mataifa tu?
Tangu lini kazi ya komandoo ikawa ni kudhibiti majambazi? Nawashukuru wachangiaji waliofafanua majukumu ya kikatiba ya Jeshi la Wananchi. Jeshi halifanyi kazi kwa matangazo, zipo operation za wazi kama DRC, Comorro nk lakini pia za siri ambazo huwezi kuzisikia na hata ukizisikia zitabaki kuwa tetesi za vijiweni bila uthibitisho wowote rasmi zinazohusisha makomandoo kuhakikisha usalama wa nchi. Makomando hata katika jeshi hutumiwa kwa operesheni maalum ( special operations) zinazohitaji kiwango cha juu cha uweledi. Huwezi kuwaleta kariakoo kupambana na vibaka wakati vijana wa Kova wanawamudu.
Tangu lini kazi ya komandoo ikawa ni kudhibiti majambazi? Nawashukuru wachangiaji waliofafanua majukumu ya kikatiba ya Jeshi la Wananchi. Jeshi halifanyi kazi kwa matangazo, zipo operation za wazi kama DRC, Comorro nk lakini pia za siri ambazo huwezi kuzisikia na hata ukizisikia zitabaki kuwa tetesi za vijiweni bila uthibitisho wowote rasmi zinazohusisha makomandoo kuhakikisha usalama wa nchi. Makomando hata katika jeshi hutumiwa kwa operesheni maalum ( special operations) zinazohitaji kiwango cha juu cha uweledi. Huwezi kuwaleta kariakoo kupambana na vibaka wakati vijana wa Kova wanawamudu.
Tangu lini kazi ya komandoo ikawa ni kudhibiti majambazi? Nawashukuru wachangiaji waliofafanua majukumu ya kikatiba ya Jeshi la Wananchi. Jeshi halifanyi kazi kwa matangazo, zipo operation za wazi kama DRC, Comorro nk lakini pia za siri ambazo huwezi kuzisikia na hata ukizisikia zitabaki kuwa tetesi za vijiweni bila uthibitisho wowote rasmi zinazohusisha makomandoo kuhakikisha usalama wa nchi. Makomando hata katika jeshi hutumiwa kwa operesheni maalum ( special operations) zinazohitaji kiwango cha juu cha uweledi. Huwezi kuwaleta kariakoo kupambana na vibaka wakati vijana wa Kova wanawamudu.
Nimpe sifa Mwl Nyerere na upumzike kwa amani babu yetu, Wajukuu zako wapo kwenye mahaba ya Digitaly hivyo wanataka kuona na kujua jinsi makomandoo wa jeshi letu wanavyofanya kazi, kizazi cha baba zetu haya hayakuwepo kabisa... lakini siku hizi vijana wanaropoka tu linakuja kinywani. mnh!