Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makomando watu, kazi yake anayeijua ni pk na banda wa malawi, tusingekuwa na jeshi imara,choko choko zao unaona zilipoishia? Ukiwa umekaa nyumbani huwezi jua kitu kinachoendelea,pia kumbuka kazi yao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu.
Macomandoo kwanini wasitumike hata mle benki kuu kuzuia wizi kama wa Epa?au TRA kuzuia mambo ya ufisadi.
Makomandoo wa tanzania wanatumia nguvu nyingi akili kidogo.. wamefundishwa kupasua mbao na matofali.. sasa kule benki wizi ni wa akili nyingi nguvu kidogo.. makomando hawawezi kuzuia akili nyingi zinazotumiaka kama wizi wa EPA
Neno Special Forces lina maana ya "kipekee".. kuna mgawanyo wa kimajukumu kwenye utendaji popote pale.. Ili komandoo afuzu the last exercise tunaitaga Plane drop.. au kuruka na mwamvuli lazima awe paratrooper sasa ukipiga mchanganuo mzima wa kumtrain mtu mmoja unakuja kwenye cost ya kama million 100 na una watrain 200 kwa mwaka halaf una wapeleka wakakimbize wezi mtaani wakat kuna Polisi, vijana wa Ulinzi Shirikishi & other vigillante groups..
Makomandoo wa tanzania wanatumia nguvu nyingi akili kidogo.. wamefundishwa kupasua mbao na matofali.. sasa kule benki wizi ni wa akili nyingi nguvu kidogo.. makomando hawawezi kuzuia akili nyingi zinazotumiaka kama wizi wa EPA
Ni kufanya maonyesho kwenye sherehe za kitaifa?
Hawa komandoo wanaifanyia nini Tanzania kwa wakati huu ambao nchi ina amani (haina vita)?
Kila uchao benki zinavamiwa. Polisi wanapata taarifa kwamba majambazi wanasilaha. Wanapotezea. Komandoo hawawezi kutumika kwenye mazingira haya?
Wizi wa uporaji magari na fedha za wafanyabiashara unafanyika kila kona. Komandoo hawawezi kutumika hata kuwakimbiza, kama Polisi wanaogopa?
Wanyamapori kama vile Tembo wanauawa sana. Serikali inapeleka "mgambo" kwa jina la askari wa kulinda wanyama pori. Kwanini komandoo wasitumike?
Ajali za baharini zinatokea. Wanaanchiwa wavuvi kusaidia uokozi. Kwanini komandoo wasitumike, wakati wao wamepata mafunzo ya juu kabisa ya usalama na uokoaji?
Au kazi yao ni kutumika kwenye vikosi vya umoja wa mataifa tu?
unawaongelea makomando gani?? kwani Tanzania tuna makomandoo wawili,
KOMANDOO HAMZA KALALA na
KOMANDOO JIDE
Ni kufanya maonyesho kwenye sherehe za kitaifa?
Hawa komandoo wanaifanyia nini Tanzania kwa wakati huu ambao nchi ina amani (haina vita)?
Kila uchao benki zinavamiwa. Polisi wanapata taarifa kwamba majambazi wanasilaha. Wanapotezea. Komandoo hawawezi kutumika kwenye mazingira haya?
Wizi wa uporaji magari na fedha za wafanyabiashara unafanyika kila kona. Komandoo hawawezi kutumika hata kuwakimbiza, kama Polisi wanaogopa?
Wanyamapori kama vile Tembo wanauawa sana. Serikali inapeleka "mgambo" kwa jina la askari wa kulinda wanyama pori. Kwanini komandoo wasitumike?
Ajali za baharini zinatokea. Wanaanchiwa wavuvi kusaidia uokozi. Kwanini komandoo wasitumike, wakati wao wamepata mafunzo ya juu kabisa ya usalama na uokoaji?
Au kazi yao ni kutumika kwenye vikosi vya umoja wa mataifa tu?
Very low thinking.
Kwa bisibisi hahahaUkamandoo jeshini ni kipaji ambacho ni wachache sana huweza mafunzo yake yanyohusu matumizi ya mwili na silaha. Kwa mfano makomandoo wa marekani wanaojulikana kama SEAL ni wachache sana ukilinganisha na jeshi lote la Marekani. Watu hawa si wa kupigana vita ya kawaida tu, bali hutumika katika operationsmaalum zinazohitaji vipaji vya hali ya juu sana kuhus matumizi ya mwili na silaha; kwa mfano operation inayotakiwa imalizike kwa muda mfupi kwa ushindi.
Operesheni hizo huwa siyo lazima ziwe za kivita: Marekani wameatumia SEALs katika kuwakamata wauza madawa ya kulevya, kwa mfano kumakamata Manuel Noriega. Kwa hiyo matumizi ya makomandoo ni unlimited, siyo vita conventional tu, bali vita yoyote inayolihusu taifa. Kwa wenzetu Marekani kuna makomandoo wa aina mbili; wale wanaohusu matukio ya nje ya nchi, ambao ndio SEALs na wale wanaohusu matukio ndani ya nchi ambao hujulikana kama SWAT.
Kosa la mtoa mada ni kudhani kuwa makomandoo wanaweza kwenda kulinda au kupambana, hapana wao ni kwa ajili ya ya kukamilisha operation iliyokwisha pangwa. Kuzuia wizi wa benki haiwezi kuwa kazi ya makomandoo kwa vile wizi huo hutokea ghafla bila kuwepo kwa taarifa zozote za kuweka mkakati wa mapambano; usidhani kuwa makomandooo wana miili ya chuma, hapana, sifa yao kubwa ni kuwa wana ubongo unaofikiria haraka sana wakati wa operesheni, na miili yao inaweza ku-react haraka sana tena kwa nguvu sana wakati huo.
Nadhani kosa linakuwa ni kwa upande wa watu wetu wa usalama wa taifa kushindwa kujua mipango ya ujambazi kabla haujatokea. CIA ndiyo hutoa taarifa zinazosaidia SEALS kupanga mpango wa mashambulizi. Kwetu sisi USALAMA wa taifa wanafanya kazi ya kung'oa watu meno kwa bisibisi lakini hawajui taarifa za uwezekano wa kutokea kwa ujambazi.
Hivi lile dege lililoiba wanyama wetu lilipita kwenye mipaka yetu au walibaki kwenye anga la kimataifa halafu wakatuibia kwa bluetooth??! Hao walinzi wa mipaka walikuwa wameenda likizo wote?!makomando watu, kazi yake anayeijua ni pk na banda wa malawi, tusingekuwa na jeshi imara,choko choko zao unaona zilipoishia? Ukiwa umekaa nyumbani huwezi jua kitu kinachoendelea,pia kumbuka kazi yao kubwa ni kulinda mipaka ya nchi yetu.
Au anataka wakaigize kwenye Bongo Movies. [emoji41] [emoji41] [emoji41]Wanakazi Nzito Hao Japo Huijui Unakula Tu Wewe
Au Unaombea Itokee Vita Ndo Uone Kazi Zao.
Wewe???
Ukamandoo jeshini ni kipaji ambacho ni wachache sana huweza mafunzo yake yanyohusu matumizi ya mwili na silaha. Kwa mfano makomandoo wa marekani wanaojulikana kama SEAL ni wachache sana ukilinganisha na jeshi lote la Marekani. Watu hawa si wa kupigana vita ya kawaida tu, bali hutumika katika operationsmaalum zinazohitaji vipaji vya hali ya juu sana kuhus matumizi ya mwili na silaha; kwa mfano operation inayotakiwa imalizike kwa muda mfupi kwa ushindi.
Operesheni hizo huwa siyo lazima ziwe za kivita: Marekani wameatumia SEALs katika kuwakamata wauza madawa ya kulevya, kwa mfano kumakamata Manuel Noriega. Kwa hiyo matumizi ya makomandoo ni unlimited, siyo vita conventional tu, bali vita yoyote inayolihusu taifa. Kwa wenzetu Marekani kuna makomandoo wa aina mbili; wale wanaohusu matukio ya nje ya nchi, ambao ndio SEALs na wale wanaohusu matukio ndani ya nchi ambao hujulikana kama SWAT.
Kosa la mtoa mada ni kudhani kuwa makomandoo wanaweza kwenda kulinda au kupambana, hapana wao ni kwa ajili ya ya kukamilisha operation iliyokwisha pangwa. Kuzuia wizi wa benki haiwezi kuwa kazi ya makomandoo kwa vile wizi huo hutokea ghafla bila kuwepo kwa taarifa zozote za kuweka mkakati wa mapambano; usidhani kuwa makomandooo wana miili ya chuma, hapana, sifa yao kubwa ni kuwa wana ubongo unaofikiria haraka sana wakati wa operesheni, na miili yao inaweza ku-react haraka sana tena kwa nguvu sana wakati huo.
Nadhani kosa linakuwa ni kwa upande wa watu wetu wa usalama wa taifa kushindwa kujua mipango ya ujambazi kabla haujatokea. CIA ndiyo hutoa taarifa zinazosaidia SEALS kupanga mpango wa mashambulizi. Kwetu sisi USALAMA wa taifa wanafanya kazi ya kung'oa watu meno kwa bisibisi lakini hawajui taarifa za uwezekano wa kutokea kwa ujambazi.
Pamoja sana mkuu wengine huwa hawaelewiMleta mada, kwanza naamini unalipenda na kuliheshimu Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Hili ni Jeshi la kupigiwa mfano, ukiacha zile dosari ndogo ndogo za hapa na pale; tena zinazofanywa na wachache.
Huwezi kujua kazi ya Komando au askari yeyote wa JWTZ hadi pale utakapokuwa eneo la kazi zao. Mambo mengi yanayofanywa na Watanzania hatuna budi kutambua na kuheshimu kwamba wanaofanya tuwe hivi ni wanajeshi wetu shupavu.
Wakati sisi tukipata moja baridi na moja moto, tukijirusha na miziki ya kizazi kipya, au tukistarehe na wapenzi wetu-JWTZ kwa ujumla wao wako kazini! Mara zote wamekataa kwa tahadhari na weledi wa hali ya juu wakiwa tayari kukabiliana na adui (siyo vibaka wa ndani). Unapoona ndege zinaruka na nyingine zikitua, ujue ni kwa sababu JWTZ wanatekeleza wajibu wao vizuri.
Masuala ya kuwapo vibaka ni kushindwa kazi kwa Polisi na wengine wa aina yao! Komando hawezi kwenda Temeke kusaka Mbwa Mwitu! Hiyo si saizi yao.
Nihitimishe kwa kusema kazi ya JWTZ utaijua pale utakapokuwa karibu na kazi zao! Mtoa mada ukiweza, omba siku moja au mbili uwe kule Kasulu au Ngara mpakani uone wanaume wanavyohangaika kulinda hii nyumba inayoitwa Tanzania na wenye nyumba wanaoitwa "Watanzania". Tena basi, wenye magari wawe na huruma. Wasiwapite barabarani. Wawape lifti! Hili ni Jeshi letu. Tunapaswa kujivunia hiki chombo!
Hongereni sana JWT