Komandoo wa Tanzania wana kazi gani?

mimi nadhani ni aibu kubwa kama kuna jeshi kutoka nje ambalo linaweza kuja nchini na kupora mali halafu eti tunasema tunamakomando nadhani sio kazi yao kulinda bali ni kazi yao sasa kurudisha mali iliyo porwa
 
kazi yao kubwa ni kulinda watoto wa vigogo:A S cry:
 
Tangu lini kazi ya komandoo ikawa ni kudhibiti majambazi? Nawashukuru wachangiaji waliofafanua majukumu ya kikatiba ya Jeshi la Wananchi. Jeshi halifanyi kazi kwa matangazo, zipo operation za wazi kama DRC, Comorro nk lakini pia za siri ambazo huwezi kuzisikia na hata ukizisikia zitabaki kuwa tetesi za vijiweni bila uthibitisho wowote rasmi zinazohusisha makomandoo kuhakikisha usalama wa nchi. Makomando hata katika jeshi hutumiwa kwa operesheni maalum ( special operations) zinazohitaji kiwango cha juu cha uweledi. Huwezi kuwaleta kariakoo kupambana na vibaka wakati vijana wa Kova wanawamudu.
 
jamani jamani jamani hapa yatubidi tufumbe macho tu hawa wajamaa inabidi watumike tuuu mkuu kama ishu ya ujangiri wa wanyama pori mpaka amiri jeshi mkuu JK KIKWETE mwenyewe kakiri kuwashindwa majangiri sasa inamaana hata makomandoo nao siwameshindwa??

ningum kumeza lakini yatubidi tuishushe huku tukiwa tumefumba mamcho 2.
 
vipi namajangiri wawanyama pori ambao amiri jeshi mkuu kawanyoshea mikono kuwa amewashindwa??
hapo hawawezi kutumika?? au kwakuwa mkubwa wao kakiri kuwashindwa basi na wao wameshindwa kuwadhibiti?
 
vipi namajangiri wawanyama pori ambao amiri jeshi mkuu kawanyoshea mikono kuwa amewashindwa??
hapo hawawezi kutumika?? au kwakuwa mkubwa wao kakiri kuwashindwa basi na wao wameshindwa kuwadhibiti?

Mkuu jeshi lolote lina kitu kinachoitwa chain of command

Amri inatoka juu inatekelezwa chini. Mwanajeshi hawezi kujiamulia tu kufanya vitu, lazima apate amri

Komando ni mwanajeshi kama walivyo wanjeshi wengine lazima apate amri. Rais ndo mtoa amri mkuu
 

Mkuu! nimekuelewa mkuu!
 

Tanzania haina comandoo ila ina maaskari wa miamvili tu.
 
vipi namajangiri wawanyama pori ambao amiri jeshi mkuu kawanyoshea mikono kuwa amewashindwa??
hapo hawawezi kutumika?? au kwakuwa mkubwa wao kakiri kuwashindwa basi na wao wameshindwa kuwadhibiti?
Majangili hawana nguvu kiasi hicho. Tatizo letu tunafanya siasa kwenye kila kitu.
 
I like signature.
Ila usikurupuke na mambo usiyoyajua na kuanza kufoka kama mweu. Unataka kujua makomando wanakazi gani ningekwambia ila hautaelewa na ukielewa hairuhusiwi.
 

Kwa majibu haya naona umemaliza kila kitu na kuukata mzizi wa fitna! Big up kwa kudhihirisha u-great thinker wako.
 
Nimpe sifa Mwl Nyerere na upumzike kwa amani babu yetu, Wajukuu zako wapo kwenye mahaba ya Digitaly hivyo wanataka kuona na kujua jinsi makomandoo wa jeshi letu wanavyofanya kazi, kizazi cha baba zetu haya hayakuwepo kabisa... lakini siku hizi vijana wanaropoka tu linakuja kinywani. mnh!
 


Hata kama wakija, hawatakuja kama makomandoo, watakuja kama polisi na mavazi yao. Ndo hapo watu wanaposema polisi wa leo walikuwa noumer. Huwezi kuingiza jeshi 'likiwa katika mavazi yao rasmi na kutambulika kama jeshi' bila kufuata taratibu ikiwa ni pamoja na rais kuamuru.
Kumbuka wanajeshi wapo kwenye operation za kila siku, na rarely hawalali. Christmass, wakati raia mnashehereka na kujiachia, wao wanakuwa full packed standby kusubiri amri lolote lokitokea!
 

Dah, najaribu kufikiria wale SEAL waliotumwa kuwaua wavuta bangi ma pirates....kwani ni sawa na vibaka wa kariakoo....
 

Kwa mtazamo wako, JWTZ ni lenye thamani sana kiasi kwamba wananchi wake hawaruhusiwi kufahamu chochote. Yaani misheni za JWTZ ni 'highly classified' zaidi ya hata za jeshi la Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…